bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Akotia

    Jipatie a 800ml french press pamoja na kahawa bure kwa 89,000Tsh tu.

    Kwa wale wadau wa kahawa,french press madhubuti sasa zimekuja tena. Ukinunua unapewa na kahawa 200 gram quality buree ya kuanzia maisha.
  2. VERBOSE

    Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

    CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo yafuatayo : a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo. b. Ili uchukie lazima uwe...
  3. Mshana Jr

    Ungependa utulivu? Tiba ya bure

    Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na sauti zenye mirindimo laini sana Sauti ya maji yanayotiririka katikati ya msitu ni moja kati ya midundo...
  4. astalavista

    Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  5. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yaandaa Kambi ya Matibabu Bure Morogoro

    Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
  6. astalavista

    Jipatie mfumo wa BULK SMS bure na msg za trial.

    Fanya ofisi yako kuwa ya kisasa inayokwenda na wakati, tumia huduma ya bulk sms kuwafikia watu wengi zaidi na kwa haraka. Kwetu sisi mfumo tunakupatia bure ukiwa na msg kadhaa za kujaribu. Nipigie 0795790411
  7. The Burning Spear

    Ushauri wa bure kwa Samia akae karibu na TEC ataishi kwa Amani.

    GT Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi. Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi anazikwa na atapata tabu sana jamaa hawana mbamba. Na hawajipendekezi kwa yeyote isipokuwa dini yao tu...
  8. Mshana Jr

    Life hacks: Maarifa mtaani bure, bunifu manufaa lundo

    Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau Tumia bando lako kwa manufaa Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
  9. Tundusami

    Unamchukuliaje mwanamke anayekubali kunyanduliwa bure?

    Je unamchukulia ana mapenzi ya zati? Unamchukulia hana njaa za kijinga Au unamchukulia cheap sema kweli.
  10. Kicheche mkali

    Ramani Bure .... Karibuni kwenye group letu la Ujenzi Ramani Bure

    🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA! Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi. 🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU: Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
  11. Pdidy

    Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  12. Analogia Malenga

    Kuna shule Morogoro ilipokea 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25 ili kufinance elimu bure

    Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
  13. astalavista

    Niite nije nikufungie bure VODACOM FAIBA.

    Pata INTANETI yenye kasi nyumbani au ofisini kwako ukiwa na Vodacom Faiba inayotumia teknolojia. KWANINI FAIBA NI NZURI ZAIDI. . Faiba haina kikomo cha watu, idadi yoyote inaweza kujiunga na kufurahia intaneti. . Ni kuanzia elfu 60,000/= kama gharama ya kifurushi kwa mwezi unafungiwa kifaa cha...
  14. Mad Max

    Tesla wasitisha Autopilot ya bure kwenye magari yao mapya! Ukihitaji utaipata kwenye FSD kwa $99/month!

    Imekua officially. Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea. Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona...
  15. JanguKamaJangu

    Halmashauri ya Chato yatoa mitumbwi miwili ili kusafirisha Wanafunzi bure katika Kisiwa cha Iyozu

    Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani. Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
  16. E

    Wizara ya itoe muongozo kama huduma kwa wamama wajawazito ni bure au ni malipo

    Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu. Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI, JAIPUR warejesha furaha kwa wahitaji 507 kwa kuwapatia viungo bandia bure

    Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini. Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
  18. X

    Mwanaume kuwa mraibu wa kutazama porno ni mental illness

    Kwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono? Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake? Una shida ya akili wewe si bure
  19. Hance Mtanashati

    Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

    Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi. Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno. Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote...
  20. Richard

    Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
Back
Top Bottom