Salaam wana jamvi,
Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha umahiri wa Ku kejeli, kusifu,vkukashifu nk. Nijuavyo Mimi Kazi ya mbunge nikushauri ,kuisimamia serikali...