bunge

  1. Huyu ni Freeman Mbowe yupi? Yule wa bunge la katiba? Au huyu wa sasa kibogoyo asiyeweza kung'ata?

    HUYU NI MBOWE YUPI? Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba. Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa! Yes! Ni MBOWE...
  2. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  3. Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
  4. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  5. K

    Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

    Siku kadhaa zimepita Dkt. Tulia Ackson alikataa bunge lisijadili hoja ya watu kutekwa na kusema kuwa siyo Kila anayepotea ametekwa hivyo ona amekuja kuumbuka. Kwa kifo cha mzee wa watu. Kwa kulinda heshima yake alitakiwa achukue hatua ya kustafuu. PIA SOMA Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya...
  6. Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  7. Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha

    KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza...
  8. Swali kwa Spika na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

    Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji? Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji. Mods msifute wala kuunganisha uzi huu hili ni swali la raia kwenda kwa mamlaka yenye dhamana ya...
  9. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  10. Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  11. Bunge la 12 Mkutano wa 16 Kikao cha 9, Septemba 6, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu...
  12. Mzee wa Upako na Dudu Baya mmelidharau bunge la Tanzania

    Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote...
  13. M

    Wananchi Wa Venezuela, walaani Bunge lao kutoisimamia serikali na kuitetea, kama chanzo cha uchumi kudorora

    Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo. Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku biashara nyingi zikifa kibudu. Mwanamama mmoja katika mahojiano hayo akiongea Kwa uchungu amesema...
  14. PreGE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

    Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge. Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
  15. Bunge la 12 Mkutano wa 16 Kikao cha 5, Septemba 2, 2024 Asubuhi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo. Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
  16. J

    Wabunge wakiwasili kuendelea na vikao nya bunge Dodoma

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wakiwasili bungeni Jijini Dodoma tayari kwa kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa 16 wa Bunge. Miongoni mwa mambo yatakayoenda kujadiliwa leo Agosti 30, 2024 ni kujadiliwa kwa Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria zinazohusu...
  17. Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  18. I

    Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

    Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine. Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa...
  19. B

    PreGE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

    Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee. Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
  20. Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…