Nimekuwa nafuatulia Mabunge mengi hasa yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola,nafuatailia sana Bunge la Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, South Africa na hata nje ya Africa, Ila pia nimekuwa nafuatilia mabunge mengine yasio fuata mfumo wa Jumuia ya Madola kama Rwanda, Burundi, DRC na kadhalika...