bunge

  1. Nchi imekuwa kama halina bunge

    Hivi ni mimi tu anayeona bunge limepooza ni kwa muda sasa sioni na hakuna cha maana kinachoendelea pale bungeni, mpaka nikasahau kuwa na sisi kwenye nchi yetu tuna bunge.
  2. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  3. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  4. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
  5. Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  6. TAMISEMI yawasilisha Bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka 2025/26 Aprili 16, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kuanza kujadiliwa. Shughuli nyingine ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba...
  7. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali...
  8. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tano, Aprili 14, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa...
  9. Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  10. S

    PreGE2025 Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani

    Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe Sensa inaonyesha idadi kubwa ya watu Tanzania ni vijana. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani Ili kama nchi tuanze kupata kizazi kipya cha wabunge na madiwani chenye mawazo mapya yanayoendana na dunia ya sasa Changamkeni...
  11. PreGE2025 Mbunge aomba bunge kujadili penalties za Simba

    Mbunge mmoja amemuomba Naibu spika wa Bunge kuahirisha shughuli za Bunge na wajadili kuhusu Penati za Simba dhidi ya Al Masri Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  12. PreGE2025 Mkurugenzi INEC Kailima: Tume ya Uchaguzi haihusiki na sheria, malalamiko ya Vyama yapelekwe Bunge au Serikali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima ameweka wazi kuwa: Tume ya Uchaguzi haihusiki na uandishi wa sheria, hivyo kwa wale wanaotishia kususia uchaguzi kutokana na kutoridhishwa na marekebisho ya baadhi ya sheria, wanapaswa kuelekeza malalamiko yao...
  13. Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Nne, leo Aprili 11, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
  14. Bunge letu miaka nenda Rudi wanajadiri ujenzi wa barabara!! serious?

    Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko. Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa...
  15. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 3 Aprili, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali. Wizara zitakazoulizwa maswali kwa siku ya leo ni pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
  16. S

    Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
  17. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 2 April, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Taarifa mbalimbali za kamati za kudumu za Bunge nazo zitawasilishwa ikiwemo; Taarifa ya Kamati ya...
  18. Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  19. Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Kwanza, Aprili 8, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
  20. Kama Rais anachaguliwa na wananchi, Spika wa bunge anachaguliwa na wabunge, kwanini Jaji mkuu asichaguliwe na majaji?

    Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara. Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…