Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...