bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CDM hawataruhusu aina ya Magufuli waingie madarakani, bora waunge mkono timu SSH. Sawa kwa CCM asili pia, ni mchezo mgumu kucheza!

    Yaani Chadema Bora muwaue kuliko team Magu warudi madarakani, na Bora CCM asili muwaue kuliko wakubali team MAGU warudi madarakani. Hard cards to play
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kikosi changu bora cha mwaka 2022

    Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden. Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022. Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo. Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
  4. JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

    Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022; 1. Pascal Mayalla 2. MamaSamia2025 3. Etwege 4. johnthebaptist 5. GENTAMYCINE 6. smarte_r 7. cocastic 8. Erythrocyte 9. DeepPond 10. Mmawia
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  8. JamiiForums Tanzania Vyoo vya kuchuchumaa ni bora kuliko vyoo vya kukalia

    NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia. Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa.. 1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  10. JamiiForums Tanzania Je, watu chotara ndiyo watu bora kabisa duniani?

    Habarini, Kisayansi inasemwa kuwa kadri kiumbe kinavyokuwa na mchanganyiko mwingi wa vinasaba ndani yake, ndivyo ubora wake na chance yake ya kusurvive inavyokuwa kubwa. Ndiyo sababu kubwa ya kukataza ndugu kuoana, ni ili ule mchanganyiko upatikane. Zamani familia za kifalme walikuwa wanoana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa jina la Utawala Bora na Kuwajibishana, hawa Mawaziri kuwa NEC ya CCM ni makosa na aibu

    1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6. Ashatu Kijaji (MNEC) 7. Angela Kairuki(MNEC) 8. Hussein Bashe(MNEC) 9. Innocent Bashungwa (MNEC)
  12. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya vyama vya siasa vilivyofanya vizuri 2022

    Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania. 1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2. ACT Wazalendo. 3. Tanzania Labor Party (TLP) 4. Civic United Front (CUF) 5. NCCR Mageuzi 6. United Democratic Party (UDP) 7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA) 8. PPT...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weka playlist yako ya top 10 l, nyimbo zako bora zilizofanya poa huu mwaka!

    1- taylor swift anti hero 2- mbosso huyu hapa 3- SZA nobody gets me 4- kizz daniel cough 5- Drake ft 21savage Rich flex 6- The weekend die for you 7- rema ft sele gomez calm down 8- the kid laroy ft Justin stay 9- c-kay love nwantiti 10- Ruger Dior
  15. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  16. JamiiForums Tanzania Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

    Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo. 1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

    Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
  19. JamiiForums Tanzania Hekima Tatu Bora!

    Kuna mwanafunzi mmoja alienda Kwa watu WA elimu na kujifunza mambo matatu makubwa. 1) Usimfanyie Ubaya mtu aliyekufanyia wema 2) Ukipita sehemu ukaiona kheri usiiache 3) Usihukumu kitu ambacho hauna uhakika nacho Alipewa Ngamia watatu na wazazi wake kama gharama ya kusomea hayo mambo matatu...
  20. JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…