bora zaidi

Mahim Bora (6 July 1924 – 5 August 2016) was an Indian writer and educationist from Assam. He was elected as a president of the Assam Sahitya Sabha held in 1989 at Doomdooma. He was awarded most notably the Padma Shri in 2011, the Sahitya Akademi Award in 2001 and the Assam Valley Literary Award in 1998. Assam Sahitya Sabha conferred its highest honorary title Sahityacharyya on him in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  2. Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

    Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake. Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
  3. Huenda huu ukawa uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa JF

    Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20... Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora...
  4. M

    PreGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Eti uhai wa watu ni bora zaidi kuliko mali, mmh! Hakuna mali ya mkatoliki iliyochomwa, zimechomwa za waislam na wakristo wengine

    Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko. Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
  5. I

    Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  6. Ufugaji wa Kuku unakua bora zaidi ukianza wiki yako na Fuga App

    Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu gharama za kufuga kuku aina yoyote. Pakua Fuga App Leo Bure kabsa Playstore...
  7. Kwa Miaka 64 Documentary bora zaidi zimekuwa za Harakati za Uhuru na Vita ya Kagera. Miaka inayokuja itakuwa Harakati za Chadema kuikomboa Tanzania

    Kwa chombo cha Habari au Mwandishi yeyote wa habari atayakefanikiwa kutengeneza documentary ya harakati ambazo Chadema imekuwa ikizifanya tangu mwaka 2005 katika kulikomboa Taifa hili kutoka Uongozi mbovu na wa kidhalimu wa Chama cha Mapinduzi, hakika napenda kusema Chombo hicho cha Habari au...
  8. N

    Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  9. A

    Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  10. Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

    Wakuu mpo! Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa...
  11. USIKATE TAMAA KIJANA: Kesho yao ni bora zaidi.

    Nikutie moyo kijana unayepita katika majaribu. Inawezekana umemaliza chuo na huna ajira. Nikutie Moyo, kuna jamaa yangu kapata ajira akiwa na miaka 41 na sasa ni mtu mkubwa tu. We bado sana kwa umri wako. Mungu yupo atakukumbuka na kuna majira ya kila jambo chini ya jua. Majira yako...
  12. Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  13. R

    Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  14. M

    Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  15. Mashine ya kukamua juice ya miwa iliyo bora zaidi ni ipi?

    Naulizia wadau wanaozijua mashine za kukamulia juice ya miwa yenye tija.zaidi na kudumu na urahisi.wa maintanance
  16. Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

    Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza. Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote...
  17. AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  18. Bubur Ayam inaweza kuwa kifungua kinywa bora zaidi baada ya English breakfast.

    Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
  19. Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea

    Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea "Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua...
  20. kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…