boni yai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Boni yai umefafanua vyema leo. Nimeelewa G55 ni nini na udhaifu wao. CHADEMA ametoa mwongozo mzuri kuhama basi

    Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

    Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Kama Mbowe angetaka kukiua chama angekiua kwenye kipindi cha Uchaguzi

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari, Boni Yai amesema kuwa kuhusu tetesi za Mbowe kutaka kuvunja chama ni za uongo kwani Mbowe angetaka kuiua CHADEMA angeiua kwenye kipindi cha Uchaguzi "Kama Mbowe angetutaka kwenye Uchaguzi ule chama kinakufa, kipindi cha...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

    Wakuu. Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu. Press itaanza muda wowote kuanzia sasa. Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55? Kaa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  7. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai asema Chadema inakufa na kujizika wenyewe

    Wakuu hili la kwamba BoniYai amesema Chadema inakufa na kujizika yenyewe ni ya kweli?
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Wakili wa chama ametolewa, tumeambiwa Afande Muliro ana mazungumzo ya siri na Tundu Lissu

    Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro Pia, Soma: Mwanasheria wa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai afuturisha mamia ya Wananchi Pwani, ahimiza mshikamano na harakati za 'No reforms No Election'

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Hall Sinza jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2025. Akizungumza Baada ya iftar...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

    Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama. Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
  11. L

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema ya kuwa Mheshimiwa Boniface Jacob ameamua kujiweka pembeni ya ulingo na masuala mazima ya siasa za CHADEMA na kuamua kujikita kwenye shughuli zake binafsi za kijasiriamali. Ambapo Mheshimiwa Jacob ambaye ni Mayor wa zamani wa Ubungo ameonekana akiwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

    Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
  13. Mzee wa Chai

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Boniface Jacob (Boni Yai) yupo Dodoma, kuna nini?

    Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM Je, Bony kakimbia chama ama...
  14. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Kina nani waliolia kilio cha kusaga meno baada ya Boni yai kurudi VIP room na kutoa kutoa matokeo ya kura za Mbowe

    Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada ya kusikia Mbowe kapigwa chini, walilia kilio cha kusaga meno. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitila Mkumbo: Boni Yai ni kama Mandonga kwenye ngumi, anaongea tu ila hana uwezo wa kunishinda

    Waziri Kitila Mkumbo akihojiwa na Wasafi FM amesema kuwa Boniface Jacob hana uwezo wa kumshinda katika Ubunge jimbo la Ubungo. Anatia huruma sana, Hata kushinda kura za maoni ndani ya chama chake hawezi. Hata 2020 hakushinda, alishinda Renatus Pamba lakini kutokana na urafiki wa Boniface na...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
  17. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hii ndo inaenda kuwa ajali ya kisiasa kwa Boni Yai, Yericko Nyerere, Ntobi na wengine wote waliojitoa ufahamu na kufanya kampeni zilizokosa staha

    Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa. Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya...
  18. chakutu

    JamiiForums Tanzania Boni Yai yupo na hali gani ?

    Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
Back
Top Bottom