"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi hajaelewa somo?"
Ni kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Tundu Lissu akimwambia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema @godbless_lema
Kauli hii aliitoa akinasibisha na utaratibu wa kutonyoa nywele walioamua baadhi ya...
Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka
Askari mwenye V tatu
Mshahara 625,000 /= baada ya makato
Huna V hata moja 228,000/=
Hii iliongezwa kutoka 215,000/=
Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra
Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka !
Miaka 6 ya...
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku...
Kimsingi ni kweli! kesi ya Lissu ni ya kisiasa na imekaa kimchongo sana
Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga tu, na ukitaka kujua inapoteza pesa na muda hata kwa Lissu angalia mashahidi wa hii kesi utajua tu ni mchongo mtupu.
===========
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani na Meya mstaafu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...
NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi.
Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
Vjana wanaonekana kusikitishwa na Maamuzi ya mbowe kwa kuuzulia halfa ya watesi wa Chama Chake CHADEMA
Bon yai:
"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu,
kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu;
unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa...
Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .
Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.
Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema...
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.