4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,451
- 9,657
Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo nimewasha mishumaa 7 kuomba azipumzishe roho zao pema peponi.
Ndani ya pitapita katika mitandao nimekutana na hotuba ya Mwenyekiti wa Pwani (Chadema) machozi yamenitoka ila ni imani yangu Mungu atayafuta tu.
Niombe wanajf mweye hii clip wekeni katika uzi huu.
Juma pili njema watu wa Mungu