bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Mpira Bongo jifunzeni Kifaransa. Mtaendelea kuaibika mpaka lini?

    Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  3. JamiiForums Tanzania Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  5. JamiiForums Tanzania Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo fleva top 5 yangu ya muda wote

    Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo... 1. Nipe Tano - Daz nundaz.. Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama birth hivi ...ndo kwanza Taifa linapata TV special Kwa bongo flava na vijana ...Nani angejua channel 5...
  7. JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Mpira umetoka kwa mtoto namba ngapi hapa?

    Twende kazi jamaa angu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  9. JamiiForums Tanzania Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  11. JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 19 tangu Wasanii wa Bongo Fleva, Complex na Vivian walipofariki dunia mwaka 2005, unawakumbuka kwa ngoma gani?

    Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
  12. JamiiForums Tanzania Kama tasnia ya Bongo muvie ingekuwa na wasomi

    Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu. In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua. Angalia jinsi filamu za kikorea...
  13. JamiiForums Tanzania Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  14. JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana. Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30. Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari. Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini biashara za mtu mweusi akifa mwanzilishi na biashara hufa

    Habari zenu wana jamvi, hivi ni kwa nini biashara za bongo hasa hasa zinazomilikiwa na watz weusi huwa haivuki kizazi zaidi ya kimoja? Yaani unakuta anapokufa muanzishaji wa ile biashara basi umaskini unapiga hodi kwenye hiyo nyumba ,,kwa ni hatuwezi kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja...
  16. JamiiForums Tanzania Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

    Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano. Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Bongo chenji tunazopeana ni kama tunakomoana

    Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii. Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
  19. JamiiForums Tanzania Kweli bongo kuna viwanda vya uongo!

    Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri. Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli. Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Magari yanayochukiwa bongo

    Habari zenu. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Mnawezq nitajia magari yanayochukiwa na wabongo kwa vigezi kwamba hawayataki kutanunua tena kwa vigezi kuwa yanakula sana mafuta, engines zake mbovu zinakuwa na ubovu mara kwa mara, gharama kuyatunza na body lake jepesi ka karatasi AsAnTe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…