bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa old skul bongo fleva,mnaukumbuka huu?

    Noma sana
  3. JamiiForums Tanzania Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

    Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje. Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo...
  4. JamiiForums Tanzania Ila Bongo Flava bwana part 1

    Kwanini Bongo Flava Ni Ngumu Kufika Mbali Kama Afrobeats, Amapiano au AfroHouse Tusipoteze muda twende kwenye points * WAANDJI (Producers) Hawa jamaa wamekosa ubunifu. Wanasubiri dunia ilete style mpya wao ndo waje kufanya blending kwneye Bongoflva. Wakati mwingine hawafanyi blending wanakopy...
  5. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    Unatembea kwenye barabara isiyo na mwisho, na una kioo kimoja mikononi mwako. Ukitazama kwenye kioo hicho, unaona kitu ambacho kila mtu huona lakini hakuna yeyote anayeweza kukiona. Je, ni kitu gani hicho?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wachambuzi wa bongo huwa mnawaelewa kweli?

    Hope nyote wazima, wa afya tele! Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu! Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Kosa Litakaloliangamiza Taifa Miaka Mitano ijayo

    Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
  8. JamiiForums Tanzania Madalali wa bongo mna matatizo gani lakini?

    Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu" "Gari ya mdada" "Gari ya baba mchugaji hii" "Gari ya mrembo wa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

    Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu. Hii inaonesha kwa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

    1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe 3: JI -Kidato kimoja 4: Top C -Lofa 5: C-sir madini - Kifungo huru Tukumbushane nyingine
  12. JamiiForums Tanzania Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
  13. JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi zinazikumba car wash za hapa bongo?

    Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini https://youtube.com/shorts/gp6_tX0no50?si=VHD5CWh6KZ_epVth Nikaona isiwe tabu wacha niulize huku JF labda kuna watu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

    1. Diarra kipa wa Yanga 2. Kevin Kijir wa Singida 3.Tshabalala Simba 4.Ibrahim Bacca Yanga 5. Che Fondoh Malone 6.Kevin Nashon Ihefu 7.Kibu Dennis Simba 8. Najim Magulu Tabora United 9.Feitoto azam 10.Aziz Ki 11.Kipre Junior
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuizungumzia Bongo Fleva na kuwaacha hawa!

    Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni watu ambao wanafanya kazi kubwa sana kusongesha gurudumu la tasnia husika. Tukija kwenye tasnia ya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

    Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
  19. JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…