bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hakuna kama Master J. Ndiye "Godfather" na mwanamapinduzi mkuu wa Bongo Fleva aliyekataa ajira nzuri Serikalini kwajili ya muziki uliokuwa hauna dira

    Master J ndio Godfather wa hili game japo yeye hapendagi kabisa hizi debates, anaona zinampotezea muda tu haoni umuhimu wa kuitwa legend wala mambo ya kupewa heshima. inshort hapewi kabisa heshima ya kitu alichokipambania. hakukuwa na Bongo flava hapo zamani, ilikuwa inaitwa "Muziki wa kufoka...
  2. McLaren

    GE2025 Is Bongo Fleva the new "Axis Of Evil" and are you guys sure it will survive after this election?

    Guys, The truth is, right now in Tanzania, the three most disliked groups are: 1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2. The police 3. Bongo Fleva artists. When it comes to Bongo Fleva artists, honestly, you don’t need an Oxford-level research paper to figure that out. Just scroll through the comment...
  3. M

    Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  4. tonicimmobility

    Rayvanny kushika namba Moja Dunia nzima kaheshimisha muziki wa bongo fleva

    Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram. Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI Kwasasa ngoma hiyo ipo nafasi ya nne kwenye trending videos duniani ikiwa...
  5. funaku

    Kumbukumbu:Chadema ndio ilianza kuleta wasanii wa bongo fleva kwenye Siasa

    Tusije kusahau kuwa Nigga J na 2 Proud walikuwa ni wabunge kupitia Chadema.
  6. Hidden Diamond

    Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

    Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi: Juma Nature Q Chillah Ferouz Lady Jay Dee Professor Jay Ngwear Jay Moe Chege Dully Sykes Ray C Stara Thomas T.I.D Mr Blue Fid Q Afande Sele Mandojo & Domo Kaya Banana Zorro...
  7. Binti wa zamani

    Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

    Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani. “Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi” Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay) Released - 2003 https://youtu.be/PrMoE0Pxk58?si=Op-OAPSwK2iwu_vS “Siku zimeenda nami nateta mbona...
  8. King Kong III

    TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata

    Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo. Soma Pia: Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 Wasanii Ay, Madee na Chege...
  10. Thecoder

    Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

    Mimi huwa niko na kawaida ya kutengeneza playlist tofauti tofauti na kuzisikiliza wakati naendelea na kazi zangu (huwa napata utulivu wa kubaki kwenye jambo moja kwa wakati huo, kwasababu kichwa changu huwa kina shida ya kufungua mafile mengi kwa wakati mmoja hasa kikiwa kwenye utulivu wa...
  11. Expensive life

    Msanii wa bongo fleva, Hamorapa achoma moto gari lake.

    Katika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.
  12. B

    Hebu niambie haya maneno yako kwenye wimbo gani wa Bongo Fleva

    Kuna Maneno matamu sana kwenye huu wimbo. Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia Mwanamke Mzuri mwenyenmaisha mazuri sana kwao. Ktk Verse ya Mwimbaji anasema hivi. ".......Kwao kila kitu stock, Beef Cow Kitimoto Pork......"
  13. haszu

    Hii ndio beat #1 bora ya bongo fleva ya muda wote

    Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
  14. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
  16. ukwaju_wa_ kitambo

    TANZIA Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Mh. Temba, afariki dunia

    TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI. Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake mzazi mchana wa leo Oktoba 25, taarifa ambayo imethibitishwa na Temba mwenyewe kupitia ukurasa wake...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    Waasisi wa muziki wa Bongo Fleva

    WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi. Kwa...
  18. Waufukweni

    Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  19. Waufukweni

    TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    Harakati za Baba Levo kwenye muziki wa Bongo Fleva

    KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA. Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa kwenye show na kundi lake la OBD & GAZ akiwemo Kijukuu Zero Sifuriii ooh, huyu Kijukuu Zero Sifuri...
Back
Top Bottom