bomba

Bomba the Jungle Boy is a series of American boys' adventure books produced by the Stratemeyer Syndicate under the pseudonym Roy Rockwood. and published by Cupples and Leon in the first half of the 20th century, in imitation of the successful Tarzan series.Twenty books are in the series. The first 10 (published from 1926-1930) are set in South America, where Bomba, a white boy who grew up in the jungle, tries to discover his origin. The second set of 10 books (published from 1931-1938) shift the scene to Africa, where a slightly older Bomba has jungle adventures.
A common theme of the Bomba books is that Bomba, because he is white, has a soul that is awake, while his friends, the dark-skinned natives, have souls that are sleeping. Richard A. Lupoff, in his book Master of Adventure, a study of the works of Tarzan creator Edgar Rice Burroughs, describes the Bomba tales as more blatantly racist than the often-criticized Tarzan books.From 1949 through 1955, Monogram Pictures brought the character to the motion-picture screen in 12 Bomba films, starring Johnny Sheffield. Sheffield was already established as an outdoor star; he had portrayed the character Boy in the Tarzan movies with Johnny Weissmuller. When the Bomba films, all set in Africa, proved popular with young audiences, the first 10 Bomba books were reprinted in the 1950s by Grosset & Dunlap, a publisher of many popular series books such as the Hardy Boys and Nancy Drew. These same books were reprinted again by Clover Books, a short-lived publisher that also reprinted the Grosset and Dunlap series Tom Quest.
In 1962, WGN-TV repackaged the Bomba films as a primetime summertime series called Zim Bomba that became a local ratings sensation. WGN executive Fred Silverman stated that "Zim" meant "Son of" in Swahili.In 1967–68, DC Comics published a Bomba comic book series. It ran for seven issues and included scripts by Denny O'Neil and artwork by Jack Sparling.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA TANZANIA - quality bomba, remastered by Natty Bongoman

    https://youtu.be/Vl_Md_tSi7I?si=kqd9YWP4jtzMHbJJ https://youtu.be/1PFqOtdMHww?si=fFtlPmH3ZYm7mpnY https://youtu.be/-f-uON139bw?si=oZO5d4vJB73LVQJ- https://youtu.be/_wpyUddkD60?si=rSA5EWRKYFnSkVpu https://youtu.be/BipaM0Qtw1c?si=CwaBK_rLO3EtGbDo Karibuni wanaJamii, tuburudike ... nipo...
  2. JamiiForums Tanzania Memory bomba KIhanda Camp Sumbawanga

    Naam kuna nyakati maishani zinabaki kuwa kumbukumbu nzuri sana. Tanzania tumejaaliwa kuwa na mchanganyiko wa makabila mengi na tukaishi pasi kujali tofauti zetu kama dini,rang, kabila, khali n,k, Ilikuwa ni Kihanda Camp chini ya kampuni ya Aarsleff Bam International juu ya ujenzi wa barabara...
  3. JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

    Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Jamani hapa Vipi! Kutambua Cheupe(DAR) Vs Rainbow Gril(DOM), wapi Bomba

    Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
  6. JamiiForums Tanzania MORUWASA: Bomba lililopasuka Mtaa wa Bomaroad imerekebishwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) imesema changamoto ya bomba lililopasuka katika Mtaa wa Bomaroad iliripotiwa na wananchi wa eneo husika imeshashughulikiwa na sasa hali ipo sawa. MORUWASA inatoa rai kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za...
  7. JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo. Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika...
  8. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  9. JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumerekebisha bomba lililopasuliwa na Mkandarasi Keko Juu na huduma imerejea

    Ufafanuzi na hatua zimechukuliwa na mamlaka husika ya maji muda mfupi baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuandika “Wakazi Keko Juu tuna shida kubwa baada ya Mkandarasi kukata mabomba ya maji kwa takriban wiki nzima." Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
  10. JamiiForums Tanzania Katika Mkataba wa Bomba la Mafuta Hoima -Tanga imeandikwa Refinery itajengwa Tanga.

    Watanzania hasa wapenda maendeleo suala la kujenga refinery ya Crude oil ya Uganda limeandikwa kwenye Mkataba siyo suala la Makubaliano na Dangote refinery ya crude oil itajengwa na waofanya drilling ya Total Energy. Lakini Tujiulize Refinery ya Mombasa itakua inasafisha mafuta gani? labda...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  15. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Irani: Je, Njia ya Bomba Inaweza Kuwa Suluhisho la Kupitisha Mafuta Njia Nyingine badala ya Kupitia Mlango wa Bahari wa Hormuz?

    Wadau wa JF, Kutokana na mgogoro unaoendelea Iran na umuhimu wa Mlango wa Bahari wa Hormuz katika usafirishaji wa mafuta duniani, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu kama kuna njia mbadala ya kupitisha mafuta bila kutegemea njia hiyo. Swali kubwa lililojadiliwa ni: Je, mabomba ya mafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama. Kusoma kilichotokea...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: "Hu arr yuu"- kumbe ilikuwa nguvu ya mshika bomba la daladala!

    . Ulanzi si maji. Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu. Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!" Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile? Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!! Za chinichini
  18. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar toeni mrija wekeni bomba la kunyonya mali za watanganyika maana tumelala sana na kusikia kwa kenge ni mpaka masikio yavuje damu.

    Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…