Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu.
Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine).
Hivyo...
Anonymous
Thread
benki
bodibodiyamikopo
kulipwa
kupitia
madeni
mikopo
nyingine
TAARIFA KWA UMMA
Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao:
Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo
Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa asilimia kubwa huwa ni wanafunzi wa Bara.
Kumekuwa na utaratibu kwamba wanufaika wa mikopo wanapoajiriwa katika sekta ua umma hawakatwi mshahara Kwa ajiri ya malipo ya HESLB Hadi baada ya mwaka mmoja kazini
Hali hii ni tofauti Kwa sekta binafsi ambapo baada tu ya kuajiriwa HR wanadai wameambiwa na bodi wapeleke majina ya wanufaika wote...
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea kwa taasisi karibia zote za serikali kuweka namba geresha na wala hazitumiki katika kuwafikia watoa...
Anonymous
Thread
bodiyamikopo
elimu ya juu
helsb
mikopo elimu ya juu
Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu.
Asante
Mikopo ya kugharimia Elimu ya Juu imekuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania tangu kuanzishwa kwake. Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya watanzania bado hawawezi kujigharimia elimu ya juu kwa vyanzo vyao wenyewe. Yamkini kusingekuwa na mikopo hii yawezekana tusingekuwa na...
Pia soma - Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua
Bodi ya mikopo mfumo wenu wakuomba mkopo unasumbua sana hasa katika kipengele Cha kuvalidate NIDA number, Kuna muda inakubali kuvalidate lakini ukianza kujaza taarifa za NIDA yaani maswali yanayoulizwa kama majina ya...
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika ujumbe huu.
Nikiwa Karagwe, nilianza mchakato wa maombi kwa njia ya mtandao. Kila nilipoingiza RITA...
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.
Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa.
Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa.
Binafsi nakubaliana na huu...
Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) imeiomba serikali kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kuweza kuongezewa kiwango cha fedha ya kujikimu kutoka Shilingi elfu 10,000 hadi Shilingi 12,000 kwa siku.
Ameyasema hayo Rais wa TAHLISO Godfrey Kiliba Juni 14,2025 Dodoma wakati wa...
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada.
Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa.
Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili.
Updates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.