boda boda

Boda bodas are bicycles and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  4. JamiiForums Tanzania Boda Boda Hero: Pius Takes a Stand for Girls' Rights

    Pius, a boda boda rider from Bwiru B – Mwanza, has shown tremendous change in protecting his community against acts of gender-based violence and exploitation. One day, while going about his business and carrying a passenger, he came across an older woman beating an adolescent girl by the...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda waaswa kutotumika kisiasa mwaka huu wa uchaguzi

    Maafisa Usafirishaji (Madereva bodaboda) wametakiwa kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kutokuwa tayari kutumika kwa namna yoyote katika vitendo vya rushwa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2025. Wito huo umetolewa leo Aprili 17, 2025 na Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Polisi wapita Vijiweni na kutishia madereva boda boda, wawaone kwenye misafara ya CHADEMA

    CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?
  8. JamiiForums Tanzania Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

    Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana. Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Boda boda Boxer iliyotumika inauzwa 1.3M

    Boda boda use inauzwa , bei ni 1.3M. Boxe BM , inamarekebisho yatahitajika kama laki 4. Ipo Dar es salaam , kitunda. Namba ya simu/ whatsapp 0754200363
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  13. JamiiForums Tanzania Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  14. JamiiForums Tanzania Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

    Endeleeni kuzaa na maslay queens. Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa milioni 10 kwa Bodaboda Arusha

    Rais Dkt. Samia Suluhu ametoa Shilingi milioni 10 kwa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Arusha ili kusaidia kukamilisha utaratibu wa kuanzisha Chama cha Ushirika cha waendesha bodaboda hao. Aidha, Rais ametoa pikipiki mbili zitakazotumiwa na viongozi wa chama hicho kwa ngazi ya wilaya na...
  16. JamiiForums Tanzania Mrembo huyu wa Boda boda awavutia wengi, anaswa akienda kwenye Mitikasi yake

    Mrembo huyu amewavutia wengi baada ya kunaswa barabarani na kamera akienda kwenye Mitikasi yake, akiwa kwenye pikipiki yake.
  17. JamiiForums Tanzania KERO Polisi wana matumizi makubwa na mabaya ya nguvu katika ukamataji wa bodaboda Dar es Salaam

    Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa mbalimbali ya barabarani. Ni kweli ninakiri mara kadhaa nimekuwa nikivunja sheria za barabarani...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wadau washangazwa na Boda boda Mwanza kumshukuru Rais Samia katika Jambo lisilojulikana

    Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

    Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo. Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi?? Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio bodaboda? 😂
  20. JamiiForums Tanzania KERO Boda boda waache kupita katika njia za watembea kwa miguu

    Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024. Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru. Maana wapo boda boda na baadhi ya bajaji ambao sio wastaarabu huacha njia zao na kutumia njia maalumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…