bobi wine

Robert Kyagulanyi Ssentamu, known by his stage name Bobi Wine, is a Ugandan politician, singer, and actor. He is a former Member of Parliament for Kyadondo County East constituency in Wakiso District, in Uganda's Central Region. He also leads the National Unity Platform political party. In June 2019, he announced his candidacy for the 2021 Ugandan presidential election. He participated in the 2021 election where he lost to the incumbent Yoweri Kaguta Museveni, a result which Kyagulanyi and a large section of the public strongly disputed.On December 14, 2021, he was placed under house arrest by the Government of Uganda. He has continued to protest his arrest.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Solomon Kampala: Bobi Wine afanikiwa kutoroka kwenye jaribio la kutekwa akiwa nyumbani kwake

    Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka wakati wa shambulio la polisi na Wanajeshi wa UPDF waliokuwa wamezunguka makazi yake na kuzuia kabisa...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Serikali imejenga miundombinu ya Intaneti, kuizima ni kama kufunga barabara kwa muda. Upinzani ni wezi wa kura ila umaarufu wetu unawashinda

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefafanua msimamo wake katika uchaguzi wa mwaka huu, ambapo anatafuta kuongeza muda wake wa uongozi kwa miaka mingine mitano, hivyo kuongeza zaidi ya miongo minne aliyokaa madarakani. Mwaka 2005, Bunge la Uganda lilipitisha marekebisho tata ya Katiba yaliyoondoa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine apiga kura

    Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie. Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi M7 'akishinda' kama wetu Uganda imepoteza ila Bobi Wine akishinda Uganda na hata M7 atakuwa ameshinda

    Naomba yaliyotokea Tanzania yasitokee Uganda vinginevyo ilazimike kuwa hivyo. Heri Bobi ashinde ndipo waganda wote washinde kuliko kushindishwa m7 ambaye umri umemuacha. Sijui kwanini watawala washenzi na waroho wa kiafrika wanapenda kufia madarakani.
  5. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi wine apamba moto. Je, Museveni ataweza zuia tsunami ya vijana?

    Aisee Huu mchuano sio wa kukosa haya machama mawili yote yanaonekana kuukamia mchezo Ukicheki chama la wanna (NUP) dhidi ya wakongwe (NRM) kila mtu yuko na energy na passion. Hii ngoma naiona haiwezi amuliwa 90a u 120 minutes. Hii ngoma naiona ikifika penalty
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa nilichokiona kwa Bobi Wine jana, Museveni jiandae. Uganda lazima wachapane

    Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani Yaani vijana wanawakataa hadharani. Fikiria vijana wako radhi wauwawe ila sio kukubali kuendeshwa na diktekta kitawaka hapo Uganda kesho
  7. W

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine: Nitaitisha Maandamano Museveni akiiba kura

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii. Akizungumza na shirika la habari la AFP nyumbani kwake jijini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine asema ataitisha Maandamano Museveni akiiba kura

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii. Akizungumza na shirika la habari la AFP nyumbani kwake jijini...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni anajua pa kummalizia Bobi Wine

    Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki). NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
  10. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Polisi Uganda wamenaswa wakimpiga na kumkaba koo mwandishi wa habari akifuatilia kampeni za mgombea urais Bobi Wine

    Hali inaendelea kuwa tete kwa upande wa Uganda Polisi wa Uganda wamenaswa wakimpiga na kumkaba koo mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia kampeni za mgombea urais Bobi Wine.
  11. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni Fires back at Bobi wine: Numbers alone can not over power a disciplined Army

    President Yoweri Museveni responded firmly to this assertion. In a video broadcast on Uganda Broadcasting Corporation (UBC), the national public broadcaster, Museveni addressed citizens directly, emphasizing the capabilities of the security apparatus. He stated that each security personnel is...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vurugu zazuka kampeni za Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) wilaya ya Iganga, Jeshi lawatawanya wananchi kwa risasi

    Siasa za Afrika ni ngumu sana, Ukishangaa ya Tanzania basi utayakuta ya Uganda. Musevi anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuendelea kubaki kwenye kitu cha urais, huku taswira ni kwamba wananchi wa Uganda wameshamkataa maana umasikini bado upo sana! =================== Hizi ni vurugu kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania FALSE Bobi Wine said that, he does not care about Ugandans anymore even if they die

    I came across this Video and got shocked as I have been following up Bobi Wine"s Campaigns recently seeing how he is sacrificing his life for the people of Uganda because the Police are on side of Museveni. I think this video is manipulating the Public view to be against Bobi Wine
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

    Bobi Wine kwa polisi wa Uganda: "Ndugu maofisa, bunduki mliyobeba ina thamani ya dola 2,000 za Marekani (kshs 258,000). Angalia jinsi bunduki hiyo inavyoonekana bora kuliko wewe, ilhali unalipwa Sh14,000 pekee. Kwa nini bunduki hiyo inaonekana bora kuliko wewe?" Japo Bobi Wine amesahau bunduki...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Taharuki Gulu City Baada ya Askari Kumpiga na Kumzuia Bobi Wine Kuingia Kwenye Kampeni

    Yani nchi za Afrika zinatabia zakufanana sana! Sasa ukitizama anachopitia Boni wine ndicho wanachopitia wanasiasa wavyama vya upinzani Tanzania. Leo Lissu yupo gerezani kwa kupewa kesi ya Uhaini, so bad Africa ================ Taharuki ilitanda jijini Gulu baada ya maafisa wa jeshi la Uganda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Polisi Uganda akichana bango la kampeni ya Mgombea urais Bobi Wine na kufyatua risasi

    Wakati vyama mbalimbali vya siasa vikiendelea na kampeni za uchaguzi mkuu Uganda unaotarajiwa kufanyika Januari 2026, Kumekuwepo na sekeseke la Mikutano ya Mgombea Urais kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) kuvamiwa na vyombo vya ulinzi mchini...
  17. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mabomu ya machozi yapigwa wakati Bobi Wine akifanya kampeni Uganda

    Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania FALSE Bobi Wine was spotted at State House, where he met with President Museveni, and he revealed plans to withdraw from the presidential race

    Hello guys, I saw this information dated October 28, 2025, is this true? "Last Sunday, @HEBobiwine was seen at State House where he met with the President of Uganda. During their discussion, he revealed plans of withdrawing from the presidential race and also asked for forgiveness. Kino...
  19. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine - Hotel under siege, UG police breaking in

    BREAKING: Police is now breaking into the hotel where Bobi wine is residing in Lira. The receptionist has been arrested and they’re knocking on every room. They’re commanded by FFUs Mukiibi with quite a number of plain clothed operatives & their car number plates are covered...
  20. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine in Bunyoro sub region

    The struggle continues... Our fourth week will resume with Bunyoro sub-region on Monday and close with Lango on Saturday. The revolutionary train is still on track to advance the message of the #ProtestVoteUg2026 #PeoplePowerOurPower #ANewUgandaNow #FreeUgandaNow #M7Mustgo
Back
Top Bottom