Robert Kyagulanyi Ssentamu, known by his stage name Bobi Wine, is a Ugandan politician, singer, and actor. He is a former Member of Parliament for Kyadondo County East constituency in Wakiso District, in Uganda's Central Region. He also leads the National Unity Platform political party. In June 2019, he announced his candidacy for the 2021 Ugandan presidential election. He participated in the 2021 election where he lost to the incumbent Yoweri Kaguta Museveni, a result which Kyagulanyi and a large section of the public strongly disputed.On December 14, 2021, he was placed under house arrest by the Government of Uganda. He has continued to protest his arrest.
Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza...
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya kizuizi cha nyumbani" kabla ya maandamano aliyopanga
Wanasiasa wa Upinzani nchini Uganda walikuwa...
UGANDA: Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amewekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa na Maafisa wa Usalama wakati akirejea kutoka Nje ya Nchi
-
Taarifa ya kuwekwa chini ya ulinzi inakuja baada Katibu Mkuu...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.