binamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Binamu yangu simuelewi elewi, hii imekaaje? ushauri wenu wakuu?

    Binamu yangu simuelewi, eleweni hivi. Nakumbuka kabla hajaolewa tulikuwa na utani wa kawaida, ila sasa kaolewa Zenji. Juzi kanunua simu akaomba namba yangu, akanipigia akisema amenimiss. BINAMU: Jamani nimekumiss mme wangu..? MIMI: Hata mimi nimekumiss mke wangu..! Lakini mimi sikuwa serious...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

    Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Binamu wa Solemani adakwa USA

    Magaidi wa IRGC sasa wachague kati ya kukaa na rubani waliyemteka au wamuachie huru. https://www.instagram.com/p/DWtuFn-DnnS/?igsh=c3NoNmVhNmlmcjZt
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

    Habari wana jamiiForums... Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga. Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa binamu aliyeolewa kunikopa hela kila mara?

    Habari zenu wapendwa? Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina dada yangu ambaye mimi nilikuwa namuheshimu sana kutokana na kwamba nilizaliwa peke yangu sina Dada, kaka wala wazazi hivyo nikaona niwe karibu na huyu dada yangu ambaye ni mtoto wa Shangazi, Mimi nimeajiriwa na serikali kama muuguzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Binamu yangu na safari hadi ya kuwa mtendaji

    Mawasilino na binamu Mimi....Hongereni binamu kwa uchaguzi huko nyumbani. Binamu....Asante ndugu yangu ,nilikuambia hatuwezi kukubali kutangaza mpizani hata kama ameshinda. Binamu....Zengwe tulianza mapema hata kabla ya uchaguzi au huangali taarifa ya habari huko mjini. Mimi....Nimewaona...
  8. JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwani kuna ubaya kumtafuna binamu...

    Yan binti wa mjomba wa mbali sana..afu ni mtoto wa efu mbili..dogo ametulia yuko fresh..
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kuzaa na binamu yako

    Wakuu Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza) Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba) Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi) Ushauri gani umfae kwa sasa?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi kanisa lilivyovunja ndoa ya binamu yangu na kumfuja mali za talaka, wanawake wanaoabudu manabii wa mchongo wamechotwa akili huwaambii kitu

    Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kushindwa kuowa kwa binamu yangu ilikuwa ni faraja kwa mama yake mzazi (shangazi)

    Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana, Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake. Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Adaiwa kulawitiwa na binamu yake

    Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu (3.5) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, inadaiwa amelawitiwa na binamu yake aitwaye Underson Alex (19) maarufu kwa jina Nngwe, wakati wakiwa wanachunga ng’ombe eneo la karibu na nyumbani kwao wilayani humo. Shangazi wa mtoto huyo akizungumza...
  15. JamiiForums Tanzania Mume ampeleka mchepuko wake nyumbani akidai binamu yake

    Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi. Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe kumpeleka mchepuko wake nyumbani na kumtambulisha kama binamu yake. Mume alikiri tuhuma hizo. Baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Binamu kaja na mumewe msibani lakini analazimisha tuchepuke

    It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. Nilichoamua, ni marufuku...
  17. JamiiForums Tanzania Amuua binamu yake kwa mshale wakigombania sehemu ya kuchaji simu

    Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao. Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Kabila la Warangi unaweza kumuoa binamu kwa utani kisha ndoa ikawa ya kweli

    Habari wana JF nimekutana na andiko hili la Adeladius Makwega wa DODOMA. Nafikiri kuna jambo la kujifunza hapa. Warangi ni kabila la kibantu linalopatikana katika mikoa ya katikati ya Tanzania ambayo sasa ni sehemu ya Dodoma. Kwa mujibu wa makadilio ya idadi ya watu ya mwaka 1999 kabila hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Mdogo Mdogo Hadi kwa Binamu.....🍷

    Basi bwana, Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu..... Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa.... Wangu wangu hadi kwa binamu, nafika ananikaribisha mezani.... Ngumu sana kukwepa mitego...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…