Kilimanjaro: Adaiwa kulawitiwa na binamu yake

Boran Jakutay

Senior Member
Apr 8, 2023
110
255
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu (3.5) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, inadaiwa amelawitiwa na binamu yake aitwaye Underson Alex (19) maarufu kwa jina Nngwe, wakati wakiwa wanachunga ng’ombe eneo la karibu na nyumbani kwao wilayani humo.

Shangazi wa mtoto huyo akizungumza na GADI TV akiwa nyumbani huko, amesema majira ya jioni siku moja kabla ya kujua tatizo hilo, mtoto huyo alirudi nyumbani akiwa amegeuza suruali yake ndani nje, na siku iliyofuata alianza kueleza anasikia maumivu sehemu ya makalio huku akionyesha kwa ishara na kusema “Nngwe amenichapa na kitu chake huku”.

Aidha, Inaelezwa wazee wa pande zote mbili (Mtuhumiwa na Mhanga) mpaka sasa wamekaa vikao viwili vyakutaka kumaliza jambo hilo kifamilia, kwa kauli mtoto atatibiwa kwa kupewa mafuta ya Ng’ombe, huku mtuhumiwa akiwa mafichoni.

Hata hivyo, Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Jairy Khanga amekiri mtoto huyo amepokelewa na kufanyiwa vipimo, na kusema majibu ni siri ya mgonjwa na Daktari, hivyo hayupo tayari kuongea chochote.

Chanzo: GADI TV
 
Mimi hizi habari huwa siziamini.

Kweli mtoto wa miaka mi3, anatundu kiasi gani?
Huyo miaka 19 wengine hadi huwa ni wababa huwa wana midenge size gani.

Habari zingine huwa ni kusakizia watu tu waende jela.

Hasa ukikuta mtu mzima anapewa kesi kama hii, jaribu kuwaza inawezekana ikawa ni masuala ya kimahusiano baina ya mwanamke na mwanaume ndio yanapelekea kutengenezeana scenario kukomeshana tu.

Binafsi huwa nabaki na walakini.
 
endelea kuamini hvyo mkuu au wew ndo wew unasupport usho***?
 
Unamatatizo ya tafsiri, hapo kuna kielelezo chochote chenye kukuonesha hiko unachokidai?

Hata kama nikiwa na support ushoga, then what is your problem
Sawa mkuu maana umeng'ang'ania kwamb hy taarifa ni ya uongo ...imagine ingekuwa ni ndugu yako ndio amefanyiwa hivo au amefanya kitendo hicho utajiskiaje?mkuu
 
Ukanda huo mambo hizo ni nyingi sana

Mwezi wa kwanza nilikuwa mwananyamala nilikuwa nafatilia vaccin ya corona sasa doctor alikuwa anaringa hatari ni mbibi hivi nilienda kuonana naye akanambia nimsubiri, nikaona uzushi kukaa ndani hospital... kama unapajua panapopatikana chanjo ya corona hapo mwananyamala.. nikakaa Kwa nje kuna frij na mbibi anauza soda nikaagiza mirinda nyeusi nikawa naigigida kidogo kidogo nikimsubiri doctor

Basi ndipo wakaja kusimama pembeni yangu na kuanza kuadithiana wadada watatu na kasichana kalichokuwa kanafanywa na uncle wake

Wadada wawili walimpeleka hospital huyo msichana, ni kasichana kadogo kama cha darasa la pili hivi mjomba ake alikuwa akimwingilia kila siku unaambiwa na bibi yake inasemekana anajua kama mwanae anamuingilia mjukuu wake ila hakuwa akimkalipia.. yaani ushenzi sanaa

Na hako kasichana nacho kalikuwa kanaadithia jinsi alivyokuwa anafanywa mpaka nikajisikia haibu, aisee.. na hako kasichana kanaadithia kuwa alimwambia mjomba wake kuwa atamsemea kwa mama yake ambaye hakuwa anaishi hapo.. mjomba alikuwa anamjibu.. kuwa mambo madogo kama hayo ya nini? Kwenda kumsemea

Walikuwa wanapanga watafute mwanasheria wamfunge huyo ndugu yao ila bibi ambaye ni mwanae huyo mjomba bado anamtetea na wakati imedhihirika kuwa ni kweli amefanya hilo tendo

Kisichana kiliulizwa kwann! Siku zote hausemi na unafanyiwa hivyo anasema alikuwa anatishiwa na huyo mjomba wake na ikitokea akimwambia bibi yake, bibi huwa anamkalipia na kumwambia aache uongo

Nilikaa hapo pembeni nilijisikia vibaya na haibu juu maana nilikuwa naangaliwa kana kwamba mm ndio muusika

By the way na chanjo yenyewe sikuchanja nilichoka kumsubiri doctor plus na ilee haibu nikajiondokea zangu
 
Sawa mkuu maana umeng'ang'ania kwamb hy taarifa ni ya uongo ...imagine ingekuwa ni ndugu yako ndio amefanyiwa hivo au amefanya kitendo hicho utajiskiaje?mkuu
Kwakuwa sipendelei, sitofurahi itokee..
Ntapenda kujiridhisha zaidi kuhusu taarifa kama ni kweli.

Ukisoma hapa hakuna sehemu nmesema ni uongo.
Inawezekana kutokea lakini huwa nina walakini.

Lazima walakini ili nireason kinachoripotiwa maana siku hzi kuna upepo flani tu unatembea kuhusu habari hizi, na istoshe nmeshaskia watu waliosingiziwa tukawalaumu na tukawatukana kwa kejeli, lakini hawakufanya matendo haya.

Unaelewa neno walakini nlilotumia hapa Mwishoni?
Mimi hizi habari huwa siziamini.

Kweli mtoto wa miaka mi3, anatundu kiasi gani?
Huyo miaka 19 wengine hadi huwa ni wababa huwa wana midenge size gani.

Habari zingine huwa ni kusakizia watu tu waende jela.

Hasa ukikuta mtu mzima anapewa kesi kama hii, jaribu kuwaza inawezekana ikawa ni masuala ya kimahusiano baina ya mwanamke na mwanaume ndio yanapelekea kutengenezeana scenario kukomeshana tu.

Binafsi huwa nabaki na walakini
 
Kwakuwa sipendelei, sitofurahi itokee..
Ntapenda kujiridhisha zaidi kuhusu taarifa kama ni kweli.

Ukisoma hapa hakuna sehemu nmesema ni uongo.
Inawezekana kutokea lakini huwa nina walakini.

Lazima walakini ili nireason kinachoripotiwa maana siku hzi kuna upepo flani tu unatembea kuhusu habari hizi, na istoshe nmeshaskia watu waliosingiziwa tukawalaumu na tukawatukana kwa kejeli, lakini hawakufanya matendo haya.

Unaelewa neno walakini nlilotumia hapa Mwishoni?
Sawa mkuu nimekuelewa maana ata mimi nilikuwa nafkir hvo kwamba huenda ushakutana na taarifa/matukio kama haya ambayo mengine hayana ukweli wowote .
 
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu (3.5) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, inadaiwa amelawitiwa na binamu yake aitwaye Underson Alex (19) maarufu kwa jina Nngwe, wakati wakiwa wanachunga ng’ombe eneo la karibu na nyumbani kwao wilayani humo.

Shangazi wa mtoto huyo akizungumza na GADI TV akiwa nyumbani huko, amesema majira ya jioni siku moja kabla ya kujua tatizo hilo, mtoto huyo alirudi nyumbani akiwa amegeuza suruali yake ndani nje, na siku iliyofuata alianza kueleza anasikia maumivu sehemu ya makalio huku akionyesha kwa ishara na kusema “Nngwe amenichapa na kitu chake huku”.

Aidha, Inaelezwa wazee wa pande zote mbili (Mtuhumiwa na Mhanga) mpaka sasa wamekaa vikao viwili vyakutaka kumaliza jambo hilo kifamilia, kwa kauli mtoto atatibiwa kwa kupewa mafuta ya Ng’ombe, huku mtuhumiwa akiwa mafichoni.

Hata hivyo, Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Jairy Khanga amekiri mtoto huyo amepokelewa na kufanyiwa vipimo, na kusema majibu ni siri ya mgonjwa na Daktari, hivyo hayupo tayari kuongea chochote.

Chanzo: GADI TV
Nngwe ana umri gani? Kama kisha balehe akanyee debe tu.
 
Back
Top Bottom