binamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kuanza kuhusisha siasa kumtengenezea Muuaji kadi ya Chadema ama kuonyesha UCCM wake ni ushamba

    BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
  2. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k Sasa wakati nikiwa pale...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kipi kibaya zaidi kati ya kutembea na binamu au shemeji?

    Shemiji anaweza kuwa mke wa Kaka yako au nduguyo, pia dada zake na wadogo zake ni mashemeji. Binamu ni mtoto wa mjomba au shangazi. NB:- HAWA HUGONGWA KIMASIHARA
  4. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpeni nafasi Binamu Bananga awe Msemaji wa Chama

    Wakuu nawasalimu, Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki CHADEMA hakipo sawa kwa maoni yangu, naona Bananga ni mtu sahihi.
Back
Top Bottom