binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  2. Dereva binafsi (private driver)

    Habarini Wana jamii forum. Kwa majina naitwa JOSHUA E JAMES, Mimi ni Dereva kwa mda mrefu Sasa nikibezi kwenye upande wa gari ndogo za watu. Nimekua nikifanya KAZI kwenye office mbalimbali kama Dereva wa office kwa Ajira ya kuendesha ma Boss, pia nimekua nikiwaendesha watu Binafsi/ Dereva wa...
  3. Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  4. Maoni yangu binafsi: Watanzania waache kelele. Wanapigania vitu vidogo ambavyo walipaswa wapiganie watoto wa STD 2.

    Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia. Maana Samia alipata 100% Gwajima na wajumbe wengine hakuna aliyelalamika kura zao kuibiwa au kupotea. Wote walitiki. Leo hii Watanganyika wajinga wanamwona Gwajima...
  5. J

    Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  6. F

    Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  7. H

    Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  8. A

    Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  9. U

    GE2025 Mgombea binafsi ni muhimu sana

    Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu. Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende bungeni akutetee?? Anaenda kurudisha mtaji aliowekeza kwanza hawezi kukubali hasara kwenye...
  10. DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  11. C

    Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie. TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata. Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika. Naomba msaada Tafadhali. Alie...
  12. Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  13. Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  14. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): Tunalinda Taarifa Binafsi ili zisiende kwenye mikono isiyo sawa

    Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi? Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
  15. GE2025 Jawadu: Polepole na Gwajima wana chuki na ubinafsi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM) ,Askofu Josephat Gwajima, na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, hazina...
  16. B

    Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  17. M

    Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  18. GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
  19. M

    Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  20. Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…