Mfumo binafsi na nyonyefu

Mfumo binafsi na nyonyefu

mussaaaaa

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
11
Reaction score
6
WADAU.
Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo ugumu kama faida kwao kwa kutunyonya sisi.

Ni ngumu kusema ni mtu wa nje ya mfumo kwakua vinavyotendeka vinahitaji mtu mwenye idhini kubwa.

Ninaomba msaada wenu wakuu.

IMG_0844.png
IMG_0842.png
IMG_0843.png
IMG_0840.png
IMG_0839.png
IMG_0838.png
IMG_0841.png
 
WADAU.
Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo ugumu kama faida kwao kwa kutunyonya sisi.

Ni ngumu kusema ni mtu wa nje ya mfumo kwakua vinavyotendeka vinahitaji mtu mwenye idhini kubwa.

Ninaomba msaada wenu wakuu.

View attachment 3606965View attachment 3606966View attachment 3606967View attachment 3606968View attachment 3606969View attachment 3606970View attachment 3606971
Trading time for money. Ndio hivyo sasa; utafanyaje? Hakuna namna ni kulipa tu mpaka umalize deni au wakuuzie nyumba.
 
Ninaomba msaada wa nini nifanye, pesa yao ambayo ni milioni 1.57 sijaitumia bado.
 
Ninaomba msaada wa nini nifanye, pesa yao ambayo ni milioni 1.57 sijaitumia bad

Saf mm ningekua na bank ningeweka milion 50, Hela zangu ukae nazo miaka 10+ nina undugu naww?

Mwambie aweke 10m kwa 2 years kama itafika hata 12m
Sidhani kama nimeeleweka ama sijajielezea vizuri!.

Hawa mabwana walinipigia cm wakanadi huduma zao, lakini walivyofanya ni tofauti na walivyojinadi.

Na hapakua na kitu cha bure hapo.

Wapi kapata namba zangu, wapi kanijua ninaitwa Nani na nimeajiriwa halmashauri ipi.
 
Vya Bure vinagharama
Gharama au ni utapeli?!
siyo kwa vile jukwaa ni huru badi uongee tuu kwakua nafasi ni ya bure, hauna mchango chanya nyamaza.

Milioni 7.7 kwa miloni kumi na tisa ilipwe kwa miaka minne alafu uje upandishe/umuwekee kwenye account mkopo bila ridhaa ya mhusika wa milioni 1.57 akulipe kwa miake nane milioni thelathini na tisa!!! .
Hata kama ni gharama, hiyo inaakisi uhalisia gani?!

NB: Hayo makubaliano kayafanya yeye na halmashauri ya taasisi yake kwa maana ya muda huo wa miaka nane.

Ninarudi kukupa pesa yako 1.57 uliiweka kimakosa kwenye account yangu ninaomba ufute huo mkopo wa milioni 39 ibaki ile rejesho ya miaka minne milion 19 unakataa kwa kunipiga kalenda, ni mara ya tatu ninafika ofisini na kupewa taarifa za uongo.

Hii ni sahihi?!
 

Attachments

  • IMG20260620121827.jpg
    IMG20260620121827.jpg
    147.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom