binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya mochwari binafsi inaruhusiwa?

    Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa. Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi? Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  3. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Wakuu nauza hp probook mali yangu binafsi

    Hp proboook Proccessor intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8gb HDD 500gb Battery 4hrs Price 280k 0628116693 Airport Dar Es Salaam
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

    Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa, Tazama sasa, Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
  5. Dance Macabre

    JamiiForums Tanzania Hivi 'No Reform no Election' inapigania na mgombea binafsi?

    Kwa kweli binafsi nimechoka na wagombea wa vyama. Hii 'No Reforms no Election ya CHADEMA inapigania na mgombea binafsi?
  6. Soul21

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi hazina msaada kwenye badiliko ya Elimu kama mazingira ni haya.

    Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza. Siandike kuweka data ila kwa uzoefu wa miaka minne ni udhibitisho tosha. Unanyanyasaji wa walimu, baadhi ya shule...
  7. oooza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  9. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi binafsi zinahitaji muonekano

    Kuna watu wanamiili mikubwa Muonekano hamna Elimu hamna Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli, Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao watawaongezea thamani ya duka kwa muonekano Wewe mwenzangu namm mwenye sifa hizo hapo juu usichague...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Familia/ mtu binafsi zenye nguvu kiuchumi

    Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana. Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha. Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
  13. Lambardi

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia. Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani ya Hayati Magufuli yaliyokuathiri katika levo yako binafsi au familia

    CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
  17. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Maswala ya usaili walimu : angali sample ya mtihani kwenye ujumbe huhu kujipima uwezo binafsi kuelekea aptitude test

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

    Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu. Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo . Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
Back
Top Bottom