Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine .
Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amezungumzia kuhusu matumizi ya Artificial Intelligence (Akili Unde), msikilize akifafanua jinsi gani suala hilo linavyoweza kuwa hatari kwa Jamii...
Korea ya kusini kupitia taasisi ya usalama mtandani ya korea- KISA,inatarajiwa kuendesha...
Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha.
Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe spirit hii ndani yangu
Juzi nimekaa ofisin kwangu alikuja jamaa mmoja simfahamu yule jamaa nilidhan...
KUTOKA DEMOKRASIA HADI THEOKRASIA
MPITO WA KIUNGU UMEFUNULIWA NA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU
“Zamani ya utawala wa mwanadamu imekwisha. Theokrasia, serikali ya moja kwa moja ya Mungu, sasa imetawazwa juu ya mataifa yote.” Kiongozi Olumba Olumba Obu
Demokrasia ni Nini?
Mfumo wa serikali...
Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.
Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia.
Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi...
Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza.
Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu ila kulikuwa na adhabu isiyo ya kifo endapo mtu atamuua mtumwa wake.
Na biblia imeandika kuwa mtu...
Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva.
Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva.
Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza...
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa.
Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha...
Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema
Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu daktari alikutibu?
Huo mshahara si mimi mtu muhasibu nilikulipa? Sasa iweje useme hutegemei watu...
Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
afrika
akutana
binadamu
haki
haki za binadamu
janet
kulia
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti
mwenyekiti wa tume
tume
umoja
umoja wa afrika
waziri
waziri kombo
Ukiniuliza swali nikupe majibu, majibu nitakayokupa mimi ni yangu binafsi sio yako.
Majibu yangu nitakayokupa yatatokana na experience yangu na sio yako.
Wewe una experience yako, mimi nina experience yangu. Kama swali lako ni la ki proffesional na mimi ni proffesional basi majibu yangu...
Psychological crisis
Mgogoro wa kisaikolojia ni chanzo cha stress katika maisha .
Inaanza hivi.
Katika utafutaji -wengi tumejikuta tunasafiri , kutoka eneo moja mpaka eneo lingine.
Ila wengi tukifika katika baadhi ya maeneo bado tunakuwa na ile hali ya kuendelea kutamani ulipotoka .
Yaani...