bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  2. Maoni yangu kuhusu NHIF kwa wote

    Salaam wana JF, Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote. Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
  3. Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  4. Mbunge furaha matondo ataka kujua ni lini Bima ya Afya kwa wote kuanza

    Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
  5. Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  6. Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Great Thinkers. Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile. Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
  7. Wapiganapo fahari wawili nyasi ndizo huumia

    Wapiganapo fahari wawili, nyasi ndizo huumia! Nini maoni yako juu ya picha hii mdau?
  8. APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  9. John Mnyika: Nakiona Kitanzi cha Bima ya Afya kwa wote kabla hata hatujafika Mbali

    Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja ilikuwa chini ya 2100 halafu pricing list mpya ya NHIF inayoanza kutumika kesho Machi Mosi Petroli ikiwa...
  10. Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya. Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
  11. Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  12. M

    Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
  13. Bima ya Afya kwa Wazee ni Muhimu sana tuwanze wazee wetu

    Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe. Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili. Tuwape upendo wazee wetu,
  14. Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

    Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika. Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
  15. J

    Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
  16. Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  17. Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Vituo vya afya vya kibinafsi sasa vinatishia kuacha kuwahudumia wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipinga viwango vipya vya malipo ya huduma mbali mbali vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa Januari 2024. NHIF ilisema mapema mwezi huu kuwa imeboresha viwango hivyo vya malipo...
  18. NHIF kaeni mbali na mchakato wa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote

    Wasalaamu wanaJF Herini ya Krismasi na maandalizi ya funga mwaka 2023. Leo tena ninarudi jamvini nikija na ushauri kuntu kwa wizara zote zinazohusika na afya pamoja na wadau wa sekta ya afya. Utambulisho Nirejee kwa kujitambulisha kuwa kwa miaka kadhaa kama raia, mwanaJF, mdau wa maswala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…