bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  2. M

    Biashara bila ujuzi ni kupoteza muda wako

    Watanzania wengi tunahitaji kupenda kujifunza kuhusu kitu unachotaka kukifanyaaa... Angalia mfano Biashara Tz saiv kuna trends kila mtu anataka kuwa mfanyabiashara na akidhanii ni kitu cha wepesi mnooo... Ila ukweli mchungu Biashara inahitaj uwe vizuri kwenye sector yako na uwe na consistency...
  3. Teknolojia Inatu-Cheat Live! AI Ina-Drain Ubongo Wetu Bila Hata Kutugusa!

    Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
  4. Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  5. Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  6. Mchele mnaomwaga kwa Lissu si wa kuokota bila kuchomwa – This ain’t no street rookie!

    hizi blaa blaa zenu za kubambikiza kesi kila mkiwa na stress za kisiasa zimechoka. You tryna play with Tundu Lissu like he's some village boy? Hell nah, this dude got legal smoke kuliko nusu ya system yenu combined. Huyu jamaa alikula books hadi aka-outsmart watu kwenye meza za kimataifa...
  7. F

    Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  8. M

    Usifuge nguruwe bila kutumia nguruwe virutubisho hivi vya max pig super meat. Utakuja nishukuru

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  9. Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  10. Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

    Wasalaam Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
  11. CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  12. R

    Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  13. P

    Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

    Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua. Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo. Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
  14. Nifanyeje nileft group bila watu kugundua kuwa nimeleft?

    Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe kusema mimi sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni petty ishu ambako pia ndio group hilo...
  15. Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  16. Lebanon haitakuwa salama kwa mdomo pekee,bila kuwaachia Hzbullah na Hamas kuifanyizia Israel kama vile wanavyofanya Houth

    Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut. Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache kuwafutata futata Hizbulllah na Hamas ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel baada...
  17. Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

    Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
  18. Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  19. Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

    Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani, ::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
  20. L

    Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…