bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?

    Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
  2. L

    Bila hizi taarifa Tano hautaweza kusajili Trademark

    Tangu pakuche Leo sijapata hata muda wa kutoka nje, nilikua na kazi ya kusajili trademark ta tangu juzi. Nilichogundua ni kwamba, bila kua na taarifa hizi huwezi kusajili trademark kikamilifu. 1. Signs and Description Hapa utajaza Jina la trademark, rangi ya trademark na mark type (kama ni...
  3. Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  4. Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  5. Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  6. Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  7. KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  8. Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  9. J

    Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

    Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote. Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
  10. Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  11. Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  12. S

    Kwanini Wasanii wanaamini Live show bila kelele wala fujo haiwezekani?

    Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
  13. Wanatucheze shere inaonekana hakuna mabadiliko watakayofanya bila shinikizo zito na lazima tutafanya hivyo ili kufikia mabadiliko ya kiuchaguzi

    Wananchi Tuliomba tume huru wametupa jina tu la tume, tulihamasisha mabadiliko ya haki wakaa sema kwamba ni vurugu, wengine wakapewa kesi za ugaidi na uhaini ni wazi hawapo tayari kwa uchaguzi wa haki na huru ila sisi tutalazimisha uwepo. Asitokee mtu asiye na akili akaniambia mimi nime...
  14. M

    Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  15. Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  16. Hivi Kuna haja gani ya Nchi kuwa na wabunge? Je, Haiwezekani nchi kuendelea bila wabunge?

    Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani? Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine Kama kuna faida za...
  17. PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

    Wakuu, Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi? Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake? Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa...
  18. Silaha 3 Zifuatazo Zitakusaidia Kutoboza Maishani (Ya Mwisho ni Muhimu Kweli)

    Habari mwanaJF, Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu January, lakini maghala yangu yanafurika sasa. Mungu ni mwaminifu! Leo unapowaangalia watu...
  19. Kisa cha Generali Yoabu kumuua Generali Abneri bila ruhusa ya Mfalme Daudi ni kielelezo kuwa kuna Matukio hutokea Rais hahusishwi au hajulishwi

    Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
  20. M

    Kazi na matokeo ya kazi, ndiyo humheshimisha kiongozi yeyote, bila hivyo, machawa ni wapunaji tu

    Kama kukosolewa ni nongwa, na burudani ya moyo wa mfalume ipo kwenye kusifiwa, na kusifiwa huko kunasababishwa na mkono wenye kugawa vinono, basi utambue unajisumbua tu, wakosoaji hujikita katika kuangazia kile umeitendea Tanzania kama kiongozi mkuu Ukiona agenda yao imeungwa mkono na walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…