Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),
Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).
Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya...