biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  3. Inanna

    JamiiForums Tanzania Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

    Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu. Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

    Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii wote katika mtiririko wa biblia walikuwa ni waisrael na sio wa mataifa tofauti na hilo na hawakuwai...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
  7. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Mfalme jemsi(king Jems) muandishi wa biblia

    Mfalme James I wa Uingereza (na VI wa Scotland) alikuwa mtu wa kipekee katika historia, si tu kwa mchango wake wa kidini na kisiasa bali pia kwa maisha yake binafsi na maandiko aliyoyaacha. Ingawa hakuna uthibitisho wa moja kwa moja, kuna mjadala wa kihistoria kuhusu maisha yake ya binafsi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka Kabudi amesema hayo kwenye...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
  10. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Biblia kitabu cha Ajabu Sana

    Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania . Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia, Mji wa Daudi ni...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  12. Oya Tusepe

    JamiiForums Tanzania Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

    Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable. Kwa kiburi hicho, hawa wenye dhamana huvunja viapo vyao walivyoapa kwa kushika Qur'an na Biblia halafu...
  15. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Naombeni app ambayo ina biblia ya kikatoliko

    Salam wanaukumbi Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc) Mwenye kujua jina tafadhali
  16. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

    Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14. Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua. Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

    Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina. Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani? Quran na...
  19. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Tusome Bibilia

    Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11
  20. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
Back
Top Bottom