bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Balaa laja. Bibi ayatakia heri majeshi.

    https://www.instagram.com/p/DWwlwwIjMM6/?igsh=MTR6eXB4MHVndWRqNQ==
  2. tpaul

    PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

    Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi. Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili...
  3. Troll JF

    Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  4. O

    Tukiwaambia fanyeni mazoezi mnabisha cheki huyu bibi dada., ukipewa unaoa

    Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako. UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako Binti wa zamani uongo Mbaga Jr dronedrake Wazee WA kubeti nyetukeni
  5. T

    Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
  6. stakehigh

    Chadema ishakua shamba la bibi, kila mtu anachangisha

  7. K

    Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  8. Waufukweni

    PostGE2025 Bibi akosoa Utawala wa sasa: Mtawala anaendesha nchi kwa vijembe na maneno ya kwenye Kanga. Vijembe havimpaswi mtawala

    Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti. Alisema kuwa katika vipindi ambavyo watawala walikuwa wenye haki na waliwapenda watu wao, wananchi...
  9. Fbn

    Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  10. F

    Hili la kutokuhojiwa ushindi wa rais mahakamani, ni upumbavu mkubwa. Trump alipelekwa mahakamani, Olmert wa Israel, Sarkozy, Park Gen-hye, soon Bibi"

    Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu. Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
  11. political monger senior

    Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  12. Grau

    Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  13. Prof_Adventure_guide

    CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

    Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru? Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom...
  14. 05CUBA

    GE2025 Kama anajiamini kwanini hakuchukua fomu ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi?

    1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine...
  15. 05CUBA

    Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

    Gari nyingi saa zimeputa last week, Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao.... Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo zilipaswa kufanya kazi nyingine za maana ... Now Suvari ilipaswa kuwa 4000 kwa kilo. Mpaka tunapita...
  16. bro alex

    Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

    Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa na wengi kuwa la kimiujiza, likifananishwa na simulizi la kibiblia la Sara aliyejifungua akiwa na...
  17. Vugu-Vugu

    VIDEO: Huyu ni bibi wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona

    Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu? Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi Kwa sauti ya juu. Mpaka inafiki bibi kizee wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona mambo makubwa...
  18. CM 1774858

    Wahamiaji haramu zaidi ya 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia

    Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia. Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini...
  19. The Burning Spear

    Huyu Bibi ana hoja asikilizwe no reforms no election.

    1
  20. Mikopo Consultant

    Nikiangalia nembo ya Bibi na Bwana na hii ya 'Made in Tanzania', napata hisia kwamba Tanzania has stagnated across many fronts

    Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka. Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa...
Back
Top Bottom