biashara

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Crypto ni Nini? Mwongozo wa Kuelewa, Kuanza na Kufanya Biashara ya Fedha za Kidijitali

    Utangulizi: Mapinduzi ya Fedha za Kidijitali Katika karne ya 21, ulimwengu umeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na kifedha yaliyobadilisha namna tunavyoelewa pesa, umiliki na uhamisho wa thamani. Moja ya uvumbuzi muhimu zaidi ni Cryptocurrency (fedha za kidijitali). Tangu kuanzishwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, atangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania

    Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
  4. JamiiForums Tanzania Una mtaji na unafikiria kuanza biashara ya carpets rejareja? Kabla hujaanza, soma haya mambo 8—yanaweza kukuokoa kwenye hasara kubwa na kukusaidia

    Biashara ya kuuza carpets rejareja ni moja ya biashara yenye fursa nzuri, hasa kwa sababu watu wanahitaji carpets kwa ajili ya nyumba, ofisi, hoteli, saluni, maduka na maeneo mbalimbali. Lakini kama ilivyo kwa biashara nyingine, kuwa na bidhaa pekee haitoshi. Unahitaji kujua soko lako, kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

    Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji Namna ya kupata utajiri kwenye biashara Namna ya kupata wateja Namna ya kulinda biashara kikawaida...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya Dry cleaner anijuze

    Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze. Changamoto za biashara iyo Faida za biashara Soko linapatikana vipi (wateja) nakadhalika... Asante..
  8. JamiiForums Tanzania Msaada; biashara ya kuchaji simu

    Wakuu naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya kuchaji simu mtaji, faida, hasara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  10. JamiiForums Tanzania Biashara matangazo jamani

    Karibu, mkatiwe Tango Financial Analyst Chizi Maarifa loose Nut secretarybird joex
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukichelewa kulipa Service Levy Gongolamboto, Maafisa Biashara wanakubambika faini ya kukukomesha na kukupeleka Polisi

    Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo. Baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  14. JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako bure kwenye tovuti ya Tanzapages

    Orodhesha Biashara Yako 🚀 Je, biashara yako inaonekana mtandaoni? Maelfu ya wateja hutafuta bidhaa na huduma mtandaoni kila siku nchini Tanzania. ✅ Sajili biashara yako kwenye Tanzapages ✅ Ongeza mwonekano wa biashara yako ✅ Fikia wateja wapya ✅ Onyesha bidhaa na huduma zako Anza kukuza...
  15. JamiiForums Tanzania Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

    Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe. Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia. Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha na Kufanikiwa Katika Biashara ya Butcher Tanzania

    Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia. Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla hujasema ‘sina mtaji wa kuanza biashara’, soma kwanza story ya Najma… 👇

    Kabla hujasema ‘sina mtaji wa kuanza biashara’, soma kwanza story ya Najma👇 Hii ni story ya Najma, mwanamke aliyegundua kitu kimoja muhimu: kutokuwa na mtaji si sababu ya kuacha kuanza. Mwanzoni, Najma hakuwa na mashine kubwa wala fremu nzuri ya biashara. Alianza biashara ya udobi kwa mtaji...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC Zasisitiza Kuimarisha Biashara kwa Kuondoa Vikwazo Visivyo vya Lazima Mipakani

    Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC zazidi kuimarisha biashara kupitia ushoroba wa kati

    TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Unataka kuanzisha Driving School? Haya ndio mambo ya kuzingatia ili ujenge biashara yenye wateja na faida

    Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…