biashara

  1. S

    JamiiForums Tanzania Biashara na mazingira

    Apongezwe huyu mama alieamua kutumia nishati Safi ya umeme katika biashara yake ndogo ya chips ili kujikwamua kiuchumi. Umuhimu wa nishati Safi ni. . Huokoa muda katika kuhudumia wateja. . Huifadhi mazingira na kuwa Safi na nadhifu. . Mfano umeme huliongezea pato shilika la umeme Tanzania...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga na mchele

    Napenda kuwasanua vijana na madini haya Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!! Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nina mtaji wa milion 4 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume age 29 baada ya michongo kwenda vibaya nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4 nikatafuta frame ya mtaani nikapata ila issue ni kwamba kila nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini...
  5. JamiiForums Tanzania Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?

    Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa na pale na mwisho wa siku kipato kitaonekana. Bahati nzuri katika wazo hilo, yuko tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

    Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni aina gani pendwa zaidi walaji huipenda? Na je bei zake zinaweza nipatia faida kiasi? Na ni maeneo...
  7. JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Nakaribisha Partner/Mdau Biashara ya Pharmacy na VifaaTiba Katoro-Geita

    Wakuu Salama?? Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya Kuendesha biashara hii ya Dawa na Vifaa Tiba. Eneo linatazamana na Kituo Cha Afya Katoro. Aidha Nina...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye ajira lukuki, likifanyika jambo hili inawezekana

    TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili. Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira. Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi, Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Kutosha isiwe sababu ya Wewe Kufungua Biashara Usiyo na Ujuzi nayo

    Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA. kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka. Kuna Uwezo kipesa na Kuna Ujuzi Wa kitu Katika...
  13. JamiiForums Tanzania TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO PCCB wilayani Bunda mfuatilieni kijana huyu anayekagua leseni za biashara

    Hii ikufikie Boss wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (PCCB) wilaya ya Bunda mkoani Mara. Wiki hii Kuna kijana mmoja ambaye kaanzisha operation ya kupita kwa baadhi ya maduka ya wafanyabiashara na kuwaulizia kama tayari washalipa leseni za biashara au la. Inajulikana wazi...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza umasikini Tanzania

    Utangulizi Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  17. L

    JamiiForums Tanzania LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

    Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business Administration ya Mchongo. Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako.... Wapo wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza chumba cha kufanyia biashara Katoro-Geita

    Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa kwahy nina uzoefu mkubwa sana,mambo kadhaa kufahamu kabla hujaanza kufanya biashara hii ni; 1. lazima...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…