biashara

  1. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara (alfajiri)

    Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
  7. JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

    Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu Kusafirisha binafamu Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo...
  9. JamiiForums Tanzania WANAWAKE wa BONGO, wengi wanaongoza kwa kufanya biashara zisizo kuwa na TIJA.

    Habari zenu wana MMU πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  10. JamiiForums Tanzania WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

    Habari zenu wakuu πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara miji midogo inayokuwa

    .
  12. JamiiForums Tanzania Unatafuta logo zitakazobamba kwenye biashara yako? Zinapatikana hapa

    Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo: https://campuscitymall.com/cart/HX9v8aGNRZPLdQfXMeUvePaj7Pq1/buyeasy/21fpXLJTCEyNC6y4QFxd
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wana tamaa sana kwenye biashara za mtandaoni

    Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000 Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
  14. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha biashara na 10% ya mtaji wangu

    Aslaam, Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara. Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue Sababu kwanini FBI hawaingilii sana biashara za Apple Inc kuliko wanavyoikandamiza Google LLC

    Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology, Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Google; Hatimaye walazimishwa kuiuza Google Chrome Browser kupunguza Monopoly kwenye biashara

    Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya Biashara nyingine, Voda-wekeza, UTT na Mabenki kwa wale wazoefu ni kipi unaweza mshauri mtu awekeze ?

    Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 . Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki . Mabenki iko wazi umiliki wake . Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wizi katika Biashara za Mtandoni

    Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.? JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI 1. Mabadiliko ya namba za simu za huduma kwa mteja. Yaani kila ukiperuzi bidhaa utakuta baada ya muda...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

    Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara. Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia. Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali. Ahsanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…