biashara

  1. Ebrahim98

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  2. B

    JamiiForums Tanzania "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  4. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa hizi bidhaa mjitafakari

    Habari wanajamii Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa! Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali...
  5. cutelove

    JamiiForums Tanzania Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

    Simu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia "Naitwa R ulinipaga namba jf kipindi umekuja Dar,nipo Bukoba mjini naomba tuonane" Nimejibu"Niko bize...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi wanawake kutumiwa kama viburudisho katika shughuli za biashara

    Maonesho ya sabasaba yamefikia tamati jana rareh 13 July kuashiria kilele cha kumalizika kwa shughuli hizo. Ukiachana na pilikapilika za sabasaba mwaka huu kuna jambo hilo limekua desturi kama utamdani ambao kama sio unakua basi unaendelea kushamiri miongoni mwa wafanyabiashara mbalimbali katika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

    Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO unalotatua.. Hii Narrative ni nzuri ila inaua ubunifu na vijana wanashindwa kufikiri “sio tu NJE YA BOX...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    Nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili, Mwaka 2022 na Mwaka 2024 wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  9. Champion_Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  10. Sundii

    JamiiForums Tanzania Andiko la biashara

    Habari. Naomba Kama Kuna mtu yuko mkoa wa Kagera anafahamu au KUJUA kuandika busness plan/andiko la biashara tuwasiliane 0762276275
  11. Mziwanda Wa Mziwanda

    JamiiForums Tanzania Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    Habari Zenu wakuu!!!! Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa! Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kujua Kama Jina la Biashara Yako Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili

    Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje" Nikamwambia "Jennifer ulikosea" Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ana mtaji wa wa Milioni 30, unamshauri afanye biashara gani?

    Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
  14. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  15. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  16. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda za kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  17. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda za kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  18. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kutumia ili biashara isife mapema sana

    Uaminifu wa wateja hauanzi kwenye mauzo, unaanza kwenye muonekano wa biashara yako. Watu huamua kukutrust kabla hata hawajakutafuta – kupitia brand yako, muonekano, na mawasiliano yako mtandaoni. Timiza ahadi zako. Ukiahidi jambo kwa mteja, hakikisha umetimiza. Kuvunja ahadi kunapunguza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Video making kit

    Habari za jumapili.... Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe, kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
Back
Top Bottom