biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini. Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake). Wanangu huishi na...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bar

    Habari wana JF. Nimekuwa nikifanya biashara ya grocery kwa mda sasa sema changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni wingi wa madeni(nadai wateja), sasa nikawa nafikiria pengine nikihama eneo na kujipanua nikaanzisha Bar ya kawaida maybe ntakuwa nimesolve hii ishu ya kukopwa sana. Kama kuna mtu ana...
  3. JamiiForums Tanzania Ufanyeje Unapokuwa Umekosea katika Biashara?

    Habari za wakati huu; Katika biashara kuna kukosea.Hii ni kama ilivyo katikamaisha ya kawaida.Kukosea ni sehemu ya ubinadamu.Kila kosa huwa lina gharama na matokeo.Haya yanaweza kuwa mabaya sana au ya wastani.Katik biashara makosa huweza kupelekea hasara katika biashara,kupoteza mteja na hata...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biashara, Fedha na Uwekezaji vifundishwe Shuleni Kwa vitendo nadharia hatufikishi kwenye matokeo

    1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia 2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo... 3. Chuo 20% ya Alama...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau wa biashara waiomba serikali kutoipa TICTS mkataba mpya

    WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

    Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

    Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
  10. M

    JamiiForums Tanzania mfumo wa mauzo kwa biashara yako kwa bei nafuu

    Habarini kwa mara ingine tena, Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa za biashara?

    Here comes, Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema. Sikufanikiwa kukubali ila yeye alienda na akaanza biashara yenyewe ikaenda vizuri miezi miwili...
  12. JamiiForums Tanzania Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

    Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  14. N

    JamiiForums Tanzania FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  15. JamiiForums Tanzania Nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development

    Habari! Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science. Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

    Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
  20. JamiiForums Tanzania RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…