Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash?
Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu.
Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi.
Je barter...
Wakuu salama.
Hii fursa nimeiona huku Kanda ya ziwa.
Kimsingi Mimi ni mtumishi wa Umma, zaidi ya mshahara sina chanzo kingine.
Sasa nimefanya tafakur na kuibuka na wazo la kuchukua mkopo CRDB ninunue gari ya abiria. Ikiwezekana niweke rut ya Geita DC - Geita town. au Katoro - Chato.
Wazo...
AVERAGE COST
Kama tunavyofahamu neno average ni wastani, na cost ni gharama.
Hivyo Average cost ni kuchukua jumla ya gharama zote fixed na variable cost (total cost) alafu ugawe kwa idadi ya vitu ulivyovizalisha (output).
Mfano:
Muuza mihogo ya kukaanga ametumia gharama ya 50,000 na...
Habari gani wakuu, za majukumu?
Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi.
Natanguliza shukrani.
Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa Yanga.
Huyu hapa ofisa huyo anaelezea kilichotokea kabla ya mchezo huo wa Azam Sports Federation...
TOTAL COST
Variable cost + Fixed cost= Total cost
Total cost ni gharama za uzalishaji wa kitu chochote
Total cost imeundwa na gharama ambazo hazibadiliki hata ukizalisha kidogo na gharama ambazo zinabadilika kulingana na idadi ya uzalishaji.
Fixed cost
Hizi ni gharama ambazo hazibadiliki...
Habari JamiiForums.
Update 25/02/2022
Hali inazidi kuwa mbaya watu wanakoswa koswa na magari kisa Machinga.
Serikali iko wapi watu wanajiamulia mambo bila kufuata Sheria.
============
Hapa Mbezi Louis machinga wamerudi na kuwa kero tena kwa watembea kwa miguu.
Sina maelezo mengi ila kuna...
Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati itakapocheza dhidi ya Biashara United kutoka mkoani Mara.
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi alinukuliwa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo) ambalo kwa 99.999% linaharibiwa na TFF kwa Interests zao lakini pia na hata Nguvu ya Ushawishi ya...
Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia.
Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio.
Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha...
Biashara kati ya Kenya na Tz, ina favor Tanzania kwakua Tz Ina export goods worth 500millUS$ while import only 400MillUS$, hongera watanzania kwa kuchapa kazi
Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara tena. Ni vizuri kufahamu makundi haya, na pia kujitathmini:-
Wafanyakazi
Hawa ni waajiriwa na...
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa mawazo kwa aliyewahi kusafirisha nyanya kutoka Moshi, Iringa, Makambako, e.tc kuleta Dar es Salaam naomba anipe mwongozo wa chochote anachokijua kuhusu hii biashara. Natanguliza shukrani zangu.
Katika utafiti wangu mdogo nikiwa field, nimegundua watu wengi wanapenda mafanikio, kwa kutegemea mwingine ndio amletee mafanikio.
Mfano, mtu atataka afanye biashara ya samaki; atakachofanya atatafuta kijana ndio amfanyie kazi ya kwenda kununua samaki,na kijana huyo huyo au mwingine ndio...
Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇
Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)
-Adapter charge aina zote
-Keyboard na Mouse wired na wireless
-VGA...
Habari wanajamvi,
Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa mengine ya kiafrika yanakutana na changamoto hizi katika kuwekeza kwenye masoko hayo
Changamoto...