biashara

  1. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizotatuliwa ili kukuza biashara kwa vijana

    Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi. Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa Rais Samia Suluhu anahakikisa anawakwamua vijana na wanawake kiuchumi. 1. Mikopo/mitaji ya biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

    1. Dar es Salaam 2. Arusha 3. Mwanza 4. Mbeya Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara? Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

    Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha. Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Tiles Dar au Dodoma

    Wanabodi salama? Nafikiria kuingia kwenye biashara ya tiles (ceramic na porcelain) importing kutoka nje ya nchi. Nna uelewa kidogo wa hizi products kupitia kwa mafundi wa tiles na kudeal na suppliers pale kariakoo. Naweza kuanzisha hapa hapa Dar au Dodoma. Ingawa wauzaji wapo wengi ila...
  6. JamiiForums Tanzania YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

    Wakuu mambo vipi? Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu. Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube. Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I...
  7. JamiiForums Tanzania Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kwenye Soka ipo hivi

    Habarini, Naanza. Bila Shaka huwa unaona au kusikia kwamba soka au mpira wa miguu yaani "Football" ni biashara kubwa sana tangu miaka mingi. Unapona vilabu vikubwa kama Manchester United, FC Barcelona au PSG vinatumia pesa nyingi sana katika uwekezaji ndani na nje ya uwanja ujue pia vilabu na...
  9. JamiiForums Tanzania Athari zitokanazo na kuzima Mtandao zisipuuzwe. Biashara Nchini Ethiopia zapoteza Dola za Marekani Milioni 145.8

    Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8 Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wiki ya pili watu wamelipia leseni za biashara lakini hawapewi, kila wakiuliza wanaambiwa vitabu hakuna

    Halmashauri ya Manispaa ya Temeke haijaweza kutoa leseni za biashara kwa watu waliolipia tayari tangu wiki iliyopita. Binafsi ninasubiria leseni, hivi karibuni baada ya kufuatilia sana mara ya mwisho nilijibiwa hivi "wewe elewa kuwa huwezi kupata leseni kwa sababu vitabu hakuna na vinasubiriwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike spesho hivi vya fashion na pochi

    Habari, Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu? Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake. Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani. Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  16. L

    JamiiForums Tanzania China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni ya TECNO kuja na toleo la POP 7

    Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu za POP na sasa wanakuletea toleo jipya la POP 7 lenye ubora zaidi hasa kwenye uhifadhi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…