betting

Gambling (also known as betting) is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome, with the primary intent of winning money or material goods. Gambling thus requires three elements to be present: consideration (an amount wagered), risk (chance), and a prize. The outcome of the wager is often immediate, such as a single roll of dice, a spin of a roulette wheel, or a horse crossing the finish line, but longer time frames are also common, allowing wagers on the outcome of a future sports contest or even an entire sports season.
The term "gaming" in this context typically refers to instances in which the activity has been specifically permitted by law. The two words are not mutually exclusive; i.e., a "gaming" company offers (legal) "gambling" activities to the public and may be regulated by one of many gaming control boards, for example, the Nevada Gaming Control Board. However, this distinction is not universally observed in the English-speaking world. For instance, in the United Kingdom, the regulator of gambling activities is called the Gambling Commission (not the Gaming Commission). The word gaming is used more frequently since the rise of computer and video games to describe activities that do not necessarily involve wagering, especially online gaming, with the new usage still not having displaced the old usage as the primary definition in common dictionaries. "Gaming" has also been used to circumvent laws against "gambling". The media and others have used one term or the other to frame conversations around the subjects, resulting in a shift of perceptions among their audiences. Gambling is also a major international commercial activity, with the legal gambling market totaling an estimated $335 billion in 2009. In other forms, gambling can be conducted with materials which have a value, but are not real money. For example, players of marbles games might wager marbles, and likewise games of Pogs or Magic: The Gathering can be played with the collectible game pieces (respectively, small discs and trading cards) as stakes, resulting in a meta-game regarding the value of a player's collection of pieces.

View More On Wikipedia.org
  1. Ewe kijana huwezi kutajirika kwa kucheza kamari, betting, kununua malaya, kuhonga na ulevi. Kimsingi hakuna cha rahisi

    ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️❌❌❌ 𝗡𝗮𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘃𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝘄𝗲𝗻𝘇𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘄𝗮𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝘃𝗶𝘁𝘂, kamari, betting, malaya, pombe na kuhonga. yuko wapi MO, AZAM DANGOTE ANA KUNDI LA CASINO, BETTING? 𝐒𝐡𝐭𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢 𝘸𝘢𝘭𝘦 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘸𝘦𝘬𝘦𝘻𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘷𝘪𝘵𝘶 𝘢𝘴𝘴𝘦𝘵𝘴 𝘯𝘢 𝘴𝘪𝘰 𝘭𝘪𝘢𝘣𝘪𝘭𝘪𝘵𝘪𝘦𝘴. 𝗘𝗪𝗘 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨 𝗞𝗜𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗔 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔...
  2. Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  3. Ni nchi gani hawachukui mapato kwa washindi wa Betting?

    Wadau, hebu changieni kama mnajua kuna nchi yoyote Barani Afrika ambayo hawachukui Kodi ya Mapato kwa washindi wa Sports betting, Casino Gambling, Online Gambling na kadharika. ? Je wewe unalipa kodi ya Mapato ukishinda kwenye spots betting ?
  4. Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

    Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89 2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema...
  5. PreGE2025 Festo Sanga: Najivunia kutoa hoja Bungeni na zimefanyiwa kazi na Serikali, ikiwemo suala la betting

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga akizungumza Bungeni, leo Juni 17, 2025 amesema anajivunia kuona michango ambayo alichangia Bungeni imefanyiwa kazi na Serikali, akitaja baadhi kuwa ni Faini ya Bodaboda itoke Tsh. 30,000 hadi kuwa Tsh. 10,000 na kushusha kodi katika nyasi bandia. Ameongeza kuwa...
  6. Kwanini watu wengi hufikiri forex ni betting, wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa. Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu...
  7. Huwezi kutoboa maisha kwa betting

    Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi", Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio", Lose ration...
  8. Hili la serikali kuongeza kodi kwenye betting ni jambo la kihuni

    Ukiweka pesa kwenye simu serikali wanapata kodi. Ukiweka pesa kwenye account yako ya betting serikali inapata kodi. Ukiliwa imekula kwako, ukila serikali wako na wewe. Ile 10% ya 2024/2025 ilikuwa kubwa sana bado mnaona haitoshi mnaongeza kodi. Mtu akila millioni 1 maana yake huko nyuma kaliwa...
  9. Serikali yaongeza kodi kwenye Betting

    Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya...
  10. Zijue nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi Afrika

    Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto. 4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 5. Uganda -...
  11. Unaweza kuwa tajiri kwa kuwekeza kwenye Betting

    Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu. Chakufanya funguackampuni ya...
  12. Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  13. Utapeli Katika Betting Unafanyika Hivi

    Naomba niwasanue.. Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup...
  14. B

    Betting agent

    Habari za majukumu wakuunilikua naomba kufahamu taratibu za kupata uwakala wa kampuni za betting pia itapenda nifahamu kampuni zipi zinakubali mawakala Natanguliza shukrani
  15. Betting imenifanya masikini wa kutupwa

    Habarini wana jamvi. Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina matumizi mengi kwa siku (hayazidi 4000/=) ila nimekuwa addicted na BETTING yaani siku haiishi bila...
  16. TFF kuanza kutoa odds za kubeti kwa kampuni za Betting

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya kubashiri katika mashindano yake yote. Mshirika huyo atashikilia haki hizo kwa kipindi chote cha...
  17. B

    The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
  18. Over 50 Betting Firms Shut Off As Govt Cracks Down On Illegal Operators

    The government has shut off over 50 betting firms for operating without the approvals of the Betting Control and Licensing Board (BCLB). In a letter sent to Communication Authority of Kenya (CA) CEO David Mugonyi, BLCB directed Safaricom to suspend all paybill payments as well as STK push...
  19. Sababu za kuacha betting

    Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa. 1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5. 2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese. 3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa...
  20. O

    NBC Premier League: Upangaji wa matokeo (Referees & Betting)

    Kuna jambo nimeligundua kwenye ligi ya NBC. Marefa wanashirikiana na watu wanao bashiri kupanga matokeo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…