betting

Gambling (also known as betting) is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome, with the primary intent of winning money or material goods. Gambling thus requires three elements to be present: consideration (an amount wagered), risk (chance), and a prize. The outcome of the wager is often immediate, such as a single roll of dice, a spin of a roulette wheel, or a horse crossing the finish line, but longer time frames are also common, allowing wagers on the outcome of a future sports contest or even an entire sports season.
The term "gaming" in this context typically refers to instances in which the activity has been specifically permitted by law. The two words are not mutually exclusive; i.e., a "gaming" company offers (legal) "gambling" activities to the public and may be regulated by one of many gaming control boards, for example, the Nevada Gaming Control Board. However, this distinction is not universally observed in the English-speaking world. For instance, in the United Kingdom, the regulator of gambling activities is called the Gambling Commission (not the Gaming Commission). The word gaming is used more frequently since the rise of computer and video games to describe activities that do not necessarily involve wagering, especially online gaming, with the new usage still not having displaced the old usage as the primary definition in common dictionaries. "Gaming" has also been used to circumvent laws against "gambling". The media and others have used one term or the other to frame conversations around the subjects, resulting in a shift of perceptions among their audiences. Gambling is also a major international commercial activity, with the legal gambling market totaling an estimated $335 billion in 2009. In other forms, gambling can be conducted with materials which have a value, but are not real money. For example, players of marbles games might wager marbles, and likewise games of Pogs or Magic: The Gathering can be played with the collectible game pieces (respectively, small discs and trading cards) as stakes, resulting in a meta-game regarding the value of a player's collection of pieces.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

    Kwa waliofanikiwa kubashiriwa na chatgpt njoeni mtoe ushuhuda wenu, mimi nimejaribu mara kadhaa nikazidi kupotezwa
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

    Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja. Pia, Soma: Mchungaji afunga...
  3. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha tena, "acha kubeti" mwisho wa betting sio mzuri

    Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk Betting inaweza kuathiri sana akili ya mtu, na mara nyingi athari hizi hujikita taratibu, hivyo kuwa ngumu kugundulika mapema. Athari...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Msimu uliopota pekee mechi za ligi kuu za Yanga zimeniingizia milioni 8 kupitia betting

    Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa. Hii ni ajira isiyo rasmi, kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida Hii ni kwa mechi za yanga tu na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni asilimia 90. Kama wanahonga waamuzi au wapinzani...
  5. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

    Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti. Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika...
  6. trojan92

    JamiiForums Tanzania Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

    Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
  7. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi! Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha. Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale. Pia niwape pole wale...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

    Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau...
  9. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Kubeti sio kamari, kamari ni kama vile Tatu Mzuka (sio betting)

    1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti. 2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti. 3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha...
  10. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Kuchambua Betting: Faida na Hatari Zilizofichika - Je, Ni Wakati wa Kubadilisha Mkakati?

    Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za betting, kutoa mifano halisi ya maisha, na kutoa mapendekezo ya nini kinachopaswa kufanyika ili...
  11. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Safari ya Maanguko: Jinsi Betting Ilivyomfikisha Alex Kwenye Umasikini na Safari Yake ya Kuinuka Tena

    Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
  13. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  16. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Kesho itajengwa na betting?

    BETTING KUUA TAIFA LA KESHO Michezo ya kubahatisha maarufu kama 'kubet' ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ukiacha aina mbalimbali za michezo hiyo zilizokuwepo kwa miaka mingi na katika maeneo maalumu kama vile kasino, hivi karibuni imeibuka ile ya kutabiri michezo na mashine za kutumia sarafu...
  18. GITWA

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

    Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni; 1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa 2. Nawezaje kupata mfumo wa betting 3. Leseni yake inapatikanaje 4...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati. Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
Back
Top Bottom