Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 555
- 1,112
Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",
Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi
Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",
Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".