betting

Gambling (also known as betting) is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome, with the primary intent of winning money or material goods. Gambling thus requires three elements to be present: consideration (an amount wagered), risk (chance), and a prize. The outcome of the wager is often immediate, such as a single roll of dice, a spin of a roulette wheel, or a horse crossing the finish line, but longer time frames are also common, allowing wagers on the outcome of a future sports contest or even an entire sports season.
The term "gaming" in this context typically refers to instances in which the activity has been specifically permitted by law. The two words are not mutually exclusive; i.e., a "gaming" company offers (legal) "gambling" activities to the public and may be regulated by one of many gaming control boards, for example, the Nevada Gaming Control Board. However, this distinction is not universally observed in the English-speaking world. For instance, in the United Kingdom, the regulator of gambling activities is called the Gambling Commission (not the Gaming Commission). The word gaming is used more frequently since the rise of computer and video games to describe activities that do not necessarily involve wagering, especially online gaming, with the new usage still not having displaced the old usage as the primary definition in common dictionaries. "Gaming" has also been used to circumvent laws against "gambling". The media and others have used one term or the other to frame conversations around the subjects, resulting in a shift of perceptions among their audiences. Gambling is also a major international commercial activity, with the legal gambling market totaling an estimated $335 billion in 2009. In other forms, gambling can be conducted with materials which have a value, but are not real money. For example, players of marbles games might wager marbles, and likewise games of Pogs or Magic: The Gathering can be played with the collectible game pieces (respectively, small discs and trading cards) as stakes, resulting in a meta-game regarding the value of a player's collection of pieces.

View More On Wikipedia.org
  1. Betting imeniliza jamani๐Ÿ™Œ

    Ni kamchezo fulani ambako usipokuwa na displine anguko lako lipo karibu, Sikuelewa wakati nilipomuona mtu anaedai kupoteza kila kitu kwenye kamari, Nilimuona mjinga nikijiuliza "Amepotezaje???" Kamchezo ambako usipokuwa makini unaweza kujikuta unadundulizia humo kila senti yako unayoona ni...
  2. M

    Unajua ili katika betting, Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa

    Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
  3. A

    Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  4. Watu kumbe wanatusua kwenye betting?

    Ona mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari
  5. Artificial intelligence (AI), Shetani, nyeto, na betting vinatumiwa sana kama visingizio miaka hii

    Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi. "Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha. "Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya. "Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka...
  6. S

    Adui mkubwa wa maendeleo kwa Vijana na wenye maisha ya chini ni BETTING.

    Habari zenu? Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari. Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100 laki 1. Hapo unajikuta ndani ya siku 100 umeshinda mara 3. Maana kuna watu wana lost zilizokithiri...
  7. Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  8. Wazee wa Betting mmeona mwenzenu Hanscana ameliwa Milioni 7.5?

    Hanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi. Una maoni gani?
  9. Wataalamu wa football betting

    Wazee wa mikeka habari. Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+) Naomba kujua kwa wazoefu. Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili. Lengo niwe nafukuzia faida ya elfu 50 kwa siku hasa kwa live game isiyozidi odd 1.03 au live game...
  10. Kuanzisha Ofisi ya Betting

    Wakuu, heri ya xmass na mwaka mpya? Natumaini mnaendelea vizuri! Naomba kwa anayeweza kufahamu namna ninaweza kuanzisha ofisi ya betting, kama wakala au inakuaje. Sina ufahamu kuhusu hii. Nipitie wapi, nahitaji nini, vigezo, na mambo mengine yanayoweza kunifanya nikamilishe hii. Ninayo frem...
  11. Samia ameamua kufanya betting

    Nimemsikiliza, Kwa haraka haraka kuna vitu viwili au vitatu vinakuja ukiwa unamasikiliza kwa hotuba ya leo. ๐Ÿ‘‰kwanza, anajibizana na wakina mama wenzie, hapa naongelea Mange na Maria Sarungi. Ni wazi ndio anaojibizana nao na hata ukiangalia video ya Mange muda mfupi baadae unaona kabisa hawa...
  12. Ushauri kwa Bahati Nasibu ya Taifa ili Kuboresha Sekta ya Betting Ili Hela Zibaki Tanzania

    Sekta ya betting nchini Tanzania imeonyesha ukuaji wa haraka, hasa kutokana na ongezeko la michezo ya kubahatisha ya mtandaoni kama Aviator. Hata hivyo, bado faida nyingi zinatoka nje ya nchi, zikipelekwa kwa makampuni ya kimataifa, na hivyo kupoteza fursa kubwa ya kukuza uchumi wa ndani. Hali...
  13. Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
  14. Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: โ€œForex ni betting tu, ni kubahatisha.โ€ Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  15. India Yapiga marufuku kampuni za Betting

    India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025. Muhtasari wa Sheria Mpya Kimepigwa Marufuku Michezo yote ya mtandaoni yenye...
  16. N

    Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  17. Betting yazidi kuineemesha Tanzania

    #UPDATES Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma , GBT, Daniel Ole Sumayan ambaye ameongeza kuwa kupitia ukuaji huo...
  18. R

    Tanzania imenufaika na Betting

    Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97 Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma , GBT, Daniel Ole Sumayan ambaye ameongeza kuwa kupitia ukuaji huo fursa za...
  19. Ewe kijana huwezi kutajirika kwa kucheza kamari, betting, kununua malaya, kuhonga na ulevi. Kimsingi hakuna cha rahisi

    โš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโŒโŒโŒ ๐—ก๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐˜‚, kamari, betting, malaya, pombe na kuhonga. yuko wapi MO, AZAM DANGOTE ANA KUNDI LA CASINO, BETTING? ๐’๐ก๐ญ๐ฎ๐ค๐ž๐ง๐ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ญ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ท๐˜ช๐˜ต๐˜ถ ๐˜ข๐˜ด๐˜ด๐˜ฆ๐˜ต๐˜ด ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ช๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ฆ๐˜ด. ๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—ž๐—œ๐—๐—”๐—ก๐—” ๐—›๐—”๐—ž๐—จ๐—ก๐—” ๐—ž๐—œ๐—ง๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ฅ๐—”๐—›๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—”๐— ๐—ž๐—” ๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ