Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,502
- 12,429
Kampuni za kubeti nimuhimu ziongeze nguvu katika kudhibiti na kumsaidia mchezaji ili kuwa na safe betting
Mambo haya ni yamsingi.
1. Kuwepo na uwezo wa mtu kufuta account yake
2. Kuwepo na uwezo wa kuzuia kwa muda account yake
3. Kukumbushwa kutoka katika account mchezaji anapokaa muda mrefu mfano 30 min
4. Kuweza kuweka kiwango cha mwisho cha hasara kwa siku
5. Kulimit kiwango cha kudeposit kwa siku
6. Kuweka kiwango cha juu cha kupoteza ambapo mhusika ataweka ikifikia kiwango hicho asiweze kudeposit tena kwenye account yake.
Nihayo tu kwa sasa wanaobeti wanapaswa kulindwa.