benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  2. Benki ya CRDB yadhamini mkutano wa mabalozi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (kulia) akizungumza na baadhi ya mabalozi walipotembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho yanayoenda sambamba na Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mabalozi...
  3. Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
  4. RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  5. Wazanzibari tambueni Mwalimu Nyerere alikuwa Rais wa kwanza, kwanini Benki ya Watu wa Zanzibari haina picha ya Nyerere, ina ya Mwinyi na Samia?

    Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
  6. Swali asilotegemea Mwanetu kwenye Interview ya Benki

    Moja kati ya vitu vinavyoumiza kichwa wahitimu wa miaka ya sasa ni mchakato wa kupata kazi. Wengi huona bora wafanye kazi yoyote hata kama haiendani kabisa na walichosomea. Sasa mimi ninakumbuka mwanangu mmoja alikuwa anasoma UDOM masomo ya biashara na uchumi. Yeye hakusubiri ahitimu masomo yake...
  7. Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

    Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line. Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka. Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china. Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
  8. Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  9. Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  10. Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Benki Bora Tanzania kutoka jarida la Global Finance

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Benki Bora Duniani iliyofanyika kwenye ukumbi wa ‘National Press...
  11. Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  12. M

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  13. I

    Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  14. Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  15. S

    Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

  16. Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

    Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo...
  17. Benki ya NMB yanusurika kulipuliwa na bomu

    Yapo maswali mengi hapa: Je, Tanzania kuna magaidi?! Usalama wa maeneo kama Kanisani na misikitini na hata penye mikusanyiko yenye idadi kubwa ya watu kuna usalama tena?
  18. R

    Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
  19. Benki za Russia zaanza kupata hasara

    Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo...
  20. Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…