benjamin netanyahu

Benjamin Netanyahu (; Hebrew: בִּנְיָמִין נְתַנְיָהוּ‎ ; born 21 October 1949) is an Israeli politician serving as the prime minister of Israel since 2009, having previously served in that role from 1996 to 1999. Netanyahu is also the chairman of the Likud – National Liberal Movement. He is the longest-serving Israeli prime minister in history and the first to be born in Israel after its Declaration of Independence.Born in Tel Aviv to secular Jewish parents, Netanyahu was raised both in Jerusalem, and for a time in Philadelphia in the United States. He returned to Israel upon graduating from high school in 1967 to join the Israel Defense Forces, shortly after the Six-Day War. Netanyahu became a team leader in the Sayeret Matkal special forces unit and took part in many missions, including Operation Gift (1968) and Operation Isotope (1972), during which he was shot in the shoulder. Netanyahu fought on the front lines in the War of Attrition and the Yom Kippur War in 1973, taking part in special forces raids along the Suez Canal and then leading a commando assault deep into Syrian territory. Netanyahu achieved the rank of captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology with a Bachelor of Science (SB) and a Master of Science (SM), Netanyahu became an economic consultant for the Boston Consulting Group. He moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute, named after his brother Yonatan Netanyahu, who died leading Operation Entebbe.
In 1984, Netanyahu was appointed as Permanent Representative of Israel to the United Nations by Prime Minister Yitzhak Shamir, a role he held until 1988. On his return to Israel, he was elected to the Knesset, and in 1993 was elected as the Chairman of Likud. He went on to lead the party to victory at the 1996 election, and was appointed as Israel's youngest-ever Prime Minister. After serving a single term, Netanyahu and Likud were heavily defeated in the 1999 election by Ehud Barak's One Israel party; Netanyahu chose to retire from politics entirely, and entered the private sector. However several years later, after his successor as Likud Chairman, Ariel Sharon, became Prime Minister, Netanyahu was convinced to return to politics, and served as Minister of Foreign Affairs and Minister of Finance. As Finance Minister, Netanyahu initiated major reforms of the Israeli economy that were credited by commentators as having significantly improved Israel's subsequent economic performance. Netanyahu later clashed with Sharon, eventually resigning over disagreements regarding the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to the leadership of Likud in December 2005 after Sharon stepped down to form a new party, Kadima. Although Likud finished second in the 2009 election to Kadima, Netanyahu was able to form a coalition government with other right-wing parties and was sworn in as Prime Minister for a second time. He went on to lead Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. After the April 2019 election resulted in no party being able to form a government, a second election in 2019 took place. In the September 2019 election, the centrist Blue and White alliance, led by Benny Gantz, emerged slightly ahead of Netanyahu's Likud; however, neither Netanyahu nor Gantz was able to form a government. After continued political deadlock, this was resolved when Likud and Blue and White reached a coalition agreement following the 2020 election. Under the terms of the agreement, the premiership would rotate between Netanyahu and Benny Gantz, in which Gantz was scheduled to succeed Netanyahu in November 2021. In December 2020, this coalition collapsed and a new election was held in March 2021. Netanyahu has led Israel’s response to the COVID-19 pandemic and the 2021 Israel–Palestine crisis.
Netanyahu made his closeness to Donald Trump central to his political appeal in Israel from 2016. Since December 2016, Netanyahu has been under investigation for corruption by Israeli police and prosecutors. On 21 November 2019, he was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud. Due to the indictment, Netanyahu is legally required to relinquish all of his ministry posts other than the prime minister position.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  2. Echolima1

    ICC Waufyata mbele ya Benjamin Netanyahu!!

    Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel. Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka...
  3. Echolima1

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

    "Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia. Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
  4. Webabu

    Alipoona yuko mbali na haikutosha, hatimae Benjamin Netanyahu alikwenda Gaza na kupiga makele haya

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said. A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
  5. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

    Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!
  6. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  7. Echolima1

    Vinu vya ki-nuclear vya Iran lazima viangamizwe kwa mazungumzo bila hivyo nguvu za kijeshi zitatumika dhidi yake-Benjamin Netanyahu

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema makubaliano ya Iran yatafanya kazi tu ikiwa vituko vyake vya Nuclear vitalipuliwa, vinginevyo nguvu ya kijeshi itatumika. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kuwa makubaliano kati ya Marekani na Tehran yanaweza tu kufanya kazi ikiwa vifaa vya...
  8. Echolima1

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  9. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu awasili Marekani kwa mazungumzo na Rais Trump

    Waziri mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu awasili mjini Washington D C tayari kwa mazungumzo na Trump.
  10. Echolima1

    Waziri mkuu Benjamin Netanyahu aongelea kwa kirefu H,H H

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alizungumzia madai dhidi ya serikali kuhusiana na juhudi za kuwarudisha mateka ambao bado wanashikiliwa huko Gaza kwenye kikao cha baraza la mawaziri leo (Jumapili). "Leo asubuhi, nitakwenda kujadili H tatu: Kwanza kabisa Hamas, kisha Hezbollah na kisha Houthis,"...
  11. Dalton elijah

    Benjamin Netanyahu Amelionya Kundi la Hamas Kuwa Litapoteza Maeneo ya Ukanda wa Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
  12. Echolima1

    Benjamin Netanyahu: Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alihutubia ulimwengu kwa ujumbe mzito: "Ungefanya nini ikiwa magaidi wangewaua na kuwateka nyara watoto wako? Ungefanya kile tunachofanya." Alisisitiza tena kwamba Hamas inawajibika pekee kwa vita vinavyoendelea.
  13. Webabu

    Uroho wa waarabu, Trump na Netanyahu utaimaliza dunia haraka. Ni muda wa wenye hekima kuwakimbia

    Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma. Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya...
  14. Echolima1

    Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  15. Webabu

    Netanyahu na Trump wamechanganyikiwa kuhusiana na Hamas. Imekuwa kaa la moto. Waropokwa ovyo

    Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo. Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
  16. U

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahau amteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6. Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
  17. Mindyou

    Donald Trump amualika Benjamin Netanyahau Ikulu ya White House. Vita ya Gaza inaelekea kuishia?

    Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili. Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
  18. ELI COHEN

    Pongezi kwa Netanyahu kwa kusuasua kwa muda mrefu katika kufanya maridhiano ili ajipatie nafasi ya kuwakanda vilivyo hamas

    Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
  19. U

    Netanyau aondoka hospitalini kibabe bila ruhusa ya madaktari , ahudhuria kikao muhimu cha bunge la bajeti akiwa dhaifu

    Wadau hamjamboni nyote? Madaktari wamemzuia yeye akagoma na kuondoka kuelekea bungeni Mwamba huyo ana siku 2 tu tokea afanyiwe upasuaji na anatakiwa aendelee kuwepo hospitalini Kwa siku kadhaa Ameonekana akiwa dhoofu na amechoka (drawn and tired) kutokana na kuugua Anatarajia kurudi...
  20. kwisha

    Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
Back
Top Bottom