benjamin netanyahu

Benjamin Netanyahu (; Hebrew: בִּנְיָמִין נְתַנְיָהוּ‎ ; born 21 October 1949) is an Israeli politician serving as the prime minister of Israel since 2009, having previously served in that role from 1996 to 1999. Netanyahu is also the chairman of the Likud – National Liberal Movement. He is the longest-serving Israeli prime minister in history and the first to be born in Israel after its Declaration of Independence.Born in Tel Aviv to secular Jewish parents, Netanyahu was raised both in Jerusalem, and for a time in Philadelphia in the United States. He returned to Israel upon graduating from high school in 1967 to join the Israel Defense Forces, shortly after the Six-Day War. Netanyahu became a team leader in the Sayeret Matkal special forces unit and took part in many missions, including Operation Gift (1968) and Operation Isotope (1972), during which he was shot in the shoulder. Netanyahu fought on the front lines in the War of Attrition and the Yom Kippur War in 1973, taking part in special forces raids along the Suez Canal and then leading a commando assault deep into Syrian territory. Netanyahu achieved the rank of captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology with a Bachelor of Science (SB) and a Master of Science (SM), Netanyahu became an economic consultant for the Boston Consulting Group. He moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute, named after his brother Yonatan Netanyahu, who died leading Operation Entebbe.
In 1984, Netanyahu was appointed as Permanent Representative of Israel to the United Nations by Prime Minister Yitzhak Shamir, a role he held until 1988. On his return to Israel, he was elected to the Knesset, and in 1993 was elected as the Chairman of Likud. He went on to lead the party to victory at the 1996 election, and was appointed as Israel's youngest-ever Prime Minister. After serving a single term, Netanyahu and Likud were heavily defeated in the 1999 election by Ehud Barak's One Israel party; Netanyahu chose to retire from politics entirely, and entered the private sector. However several years later, after his successor as Likud Chairman, Ariel Sharon, became Prime Minister, Netanyahu was convinced to return to politics, and served as Minister of Foreign Affairs and Minister of Finance. As Finance Minister, Netanyahu initiated major reforms of the Israeli economy that were credited by commentators as having significantly improved Israel's subsequent economic performance. Netanyahu later clashed with Sharon, eventually resigning over disagreements regarding the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to the leadership of Likud in December 2005 after Sharon stepped down to form a new party, Kadima. Although Likud finished second in the 2009 election to Kadima, Netanyahu was able to form a coalition government with other right-wing parties and was sworn in as Prime Minister for a second time. He went on to lead Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. After the April 2019 election resulted in no party being able to form a government, a second election in 2019 took place. In the September 2019 election, the centrist Blue and White alliance, led by Benny Gantz, emerged slightly ahead of Netanyahu's Likud; however, neither Netanyahu nor Gantz was able to form a government. After continued political deadlock, this was resolved when Likud and Blue and White reached a coalition agreement following the 2020 election. Under the terms of the agreement, the premiership would rotate between Netanyahu and Benny Gantz, in which Gantz was scheduled to succeed Netanyahu in November 2021. In December 2020, this coalition collapsed and a new election was held in March 2021. Netanyahu has led Israel’s response to the COVID-19 pandemic and the 2021 Israel–Palestine crisis.
Netanyahu made his closeness to Donald Trump central to his political appeal in Israel from 2016. Since December 2016, Netanyahu has been under investigation for corruption by Israeli police and prosecutors. On 21 November 2019, he was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud. Due to the indictment, Netanyahu is legally required to relinquish all of his ministry posts other than the prime minister position.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau afanya ziara mpaka wa Lebanon, asema dunia imevutiwa na uwezo na uwezo wa kijeshi wa Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi. Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa ====== Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback Remains of a ballistic missile...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

    Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia: 1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17) Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York. Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

    Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha Credit: Al Jazeera news Baadae Mlale unono 😃🌹
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF yathibitisha kuwaua watekwa wake 3 wa Israeli

    Wanaukumbi. Jeshi la Israel limethibitisha kwa mara ya kwanza habari zilizoripotiwa na Channel 12: mateka Ron Sherman, Nick Beizer, na Elia Toledano waliuawa kutokana na mashambulizi ya 'IDF'.-Kiebrania Ch.12 NETENYAHU kachanganyikiwa atawamaliza Mateka wake ambao alijitapa anaenda Rafah...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wasema wamebadili mfumo wa kuwalinda Mateka. Netanyahu aomba radhi

    Yule msemaji asiyechoka wa Hamas aitwaye Abu Ubeida amesema tangu mwezi Juni mwaka huu wamebadili mfumo wa kuwalinda mateka na kutoa maagizo hayo kwa wanaowalinda pindi askari wa Israel wanapokaribia kuwafikia.Hata hivyo hakutoa ufafanuzi wa mfumo huo. Inakumbukwa mnamo mwezi Juni jeshi la...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Andiko hii 1 Samweli 15 linatoa picha kinachoendelea huko Israel

    Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na Netanyahu na genge lake. Kwa nini nimemtaja Netanyau katika hili ? Kwa sababu yeye kama waziri mkuu wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kuwatumbua Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Kikosi Maalumu cha Ujasusi jeshini cha Shin Bet

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema lakini cha Ismael haniyeh kilichelewesha tangazo hilo Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel...
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

    Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atembelea uwanja wa mpira wa miguu ambapo roketi iliua watoto 12 siku ya Jumamosi, aapa kuisambaratisha Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini Mungu ibariki taifa teule la Israel Netanyahu visits site of deadly Majdal Shams attack, vows ‘harsh response’ Prime Minister Benjamin Netanyahu visits the soccer field in Majdal Shams where a rocket killed 12 children on Saturday, and...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Harris anamwambia Netanyahu 'ni wakati' wa kumaliza vita huko Gaza

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris - ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba - amefanya kile alichokiita "mazungumzo ya wazi na yenye kujenga" na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Akiwa na sauti kali zaidi kuliko Rais Joe Biden, Bi...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
  15. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yaliyompata mfalme Abraha yanamnyemelea Benjamin Netanyahu

    Mkasa wa mfalme Abraha umetajwa ndani ya Qur'an suraul Fiil tukio lililotokea mwezi kama huu aliozaliwa mtume Muhammad swalaLlaahu alayhi wasaLlam.Na ndio mwezi huu huu Hamas walipofanya kile kilichoonekana hakiwezekani. Abraha alikuwa ni mfalme wa Yemen ya sasa na alikuwa mkristo..Aliposikia...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Netanyahu kujiuzulu, sio kupanga vita. Anasubiri nini?

    Kitu kilchotokea Israel ni kibaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.Na yote ni kutokana na siasa za ubabe wa Benjamin Netanyahu. Siasa zake hizo imekuwa sababu ya kuwakasirisha zaidi wapalestina ambao sasa wameamua kujitoa muhanga kupambana badala ya kulia lia na kuomba kuhurumiwa. Wananchi...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aapa kujenga Ukuta Jordan kuzuia Wahamiaji wa Kiafrika, waliopo kuondolewa Israel

    Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala. Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo. Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu...
  19. Nature

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu anakaribia kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa ISRAEL, Benjamin Netanyahu anaongoza kwa asilimia 62% ya idadi ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa. Pia tayari chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud kimeshinda idadi ya Viti 69 kati ya 120 katika bunge la nchi hiyo Knesset na hivyo kujihakikishia kuunda serikali. Kwa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Israel: Serikali inayoweza kumtoa Benjamin Netanyahu madarakani kupigiwa kura Juni 13

    Bunge la Israeli limesema Kura juu ya Serikali mpya ambayo inaweza kumaliza Utawala wa miaka 12 wa Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu, itapigwa Juni 13, 2021. Kiongozi huyo aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi Nchini Israeli (miaka 12) ameuita Muungano mpya kuwa ni udanganyifu wa karne. Ikiwa...
Back
Top Bottom