benjamin netanyahu

Benjamin Netanyahu (; Hebrew: בִּנְיָמִין נְתַנְיָהוּ‎ ; born 21 October 1949) is an Israeli politician serving as the prime minister of Israel since 2009, having previously served in that role from 1996 to 1999. Netanyahu is also the chairman of the Likud – National Liberal Movement. He is the longest-serving Israeli prime minister in history and the first to be born in Israel after its Declaration of Independence.Born in Tel Aviv to secular Jewish parents, Netanyahu was raised both in Jerusalem, and for a time in Philadelphia in the United States. He returned to Israel upon graduating from high school in 1967 to join the Israel Defense Forces, shortly after the Six-Day War. Netanyahu became a team leader in the Sayeret Matkal special forces unit and took part in many missions, including Operation Gift (1968) and Operation Isotope (1972), during which he was shot in the shoulder. Netanyahu fought on the front lines in the War of Attrition and the Yom Kippur War in 1973, taking part in special forces raids along the Suez Canal and then leading a commando assault deep into Syrian territory. Netanyahu achieved the rank of captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology with a Bachelor of Science (SB) and a Master of Science (SM), Netanyahu became an economic consultant for the Boston Consulting Group. He moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute, named after his brother Yonatan Netanyahu, who died leading Operation Entebbe.
In 1984, Netanyahu was appointed as Permanent Representative of Israel to the United Nations by Prime Minister Yitzhak Shamir, a role he held until 1988. On his return to Israel, he was elected to the Knesset, and in 1993 was elected as the Chairman of Likud. He went on to lead the party to victory at the 1996 election, and was appointed as Israel's youngest-ever Prime Minister. After serving a single term, Netanyahu and Likud were heavily defeated in the 1999 election by Ehud Barak's One Israel party; Netanyahu chose to retire from politics entirely, and entered the private sector. However several years later, after his successor as Likud Chairman, Ariel Sharon, became Prime Minister, Netanyahu was convinced to return to politics, and served as Minister of Foreign Affairs and Minister of Finance. As Finance Minister, Netanyahu initiated major reforms of the Israeli economy that were credited by commentators as having significantly improved Israel's subsequent economic performance. Netanyahu later clashed with Sharon, eventually resigning over disagreements regarding the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to the leadership of Likud in December 2005 after Sharon stepped down to form a new party, Kadima. Although Likud finished second in the 2009 election to Kadima, Netanyahu was able to form a coalition government with other right-wing parties and was sworn in as Prime Minister for a second time. He went on to lead Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. After the April 2019 election resulted in no party being able to form a government, a second election in 2019 took place. In the September 2019 election, the centrist Blue and White alliance, led by Benny Gantz, emerged slightly ahead of Netanyahu's Likud; however, neither Netanyahu nor Gantz was able to form a government. After continued political deadlock, this was resolved when Likud and Blue and White reached a coalition agreement following the 2020 election. Under the terms of the agreement, the premiership would rotate between Netanyahu and Benny Gantz, in which Gantz was scheduled to succeed Netanyahu in November 2021. In December 2020, this coalition collapsed and a new election was held in March 2021. Netanyahu has led Israel’s response to the COVID-19 pandemic and the 2021 Israel–Palestine crisis.
Netanyahu made his closeness to Donald Trump central to his political appeal in Israel from 2016. Since December 2016, Netanyahu has been under investigation for corruption by Israeli police and prosecutors. On 21 November 2019, he was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud. Due to the indictment, Netanyahu is legally required to relinquish all of his ministry posts other than the prime minister position.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

    Niaje waungwana Wakuu leo naomba tuiangalie hii picha kwa makini, halaf tuutafakari msemo huu wa wahenga wetu wa zamani hapo chini 👇 1. Mshahara wa Dhambi ni Mauti. What Goes Around .... Comes Around 🤣🤣🤣
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hasira za kidini zikazidisha na kuchochea uhasama zaidi na kupelekea kuuawa kwa Benjamin Netanyahu au Donald Trump wakiwa bado wako mamlakani

    Kuuawa kwa kiongozi wa dini ya kiislamu pale Tehran-Iran, Grand Ayatollah Seyyed Imam AIi Hosseini Khamenei, kumeamsha hasira, chuki na uhasama usiomithilika na wenye sura mpya ya kidini ambayo huenda ikaleta maafa makubwa sana ulimwenguni na kuchochea zaidi matukio ya kujitoa muhanga na ugaidi...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwamba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aonya kamati ya Amani ya Gaza!!

    🇮🇱 “Hilo halitatokea.” Waziri Mkuu Netanyahu alieleza waziwazi: 🔹 Hakuna ujenzi mpya kabla ya kuondolewa kijeshi Magaidi wa Hamas huko Gaza 🔹 Hakuna wanajeshi wa kigeni huko Gaza-Israel haitaruhusu nchi zilizokuwa zinaunga mkono magaidi wa Hamas kushiriki kwenye ujenzi wa Gaza npya. 🔹 Hakuna...
  4. B

    JamiiForums Tanzania FALSE Did protests against Benjamin Netanyahu erupt in Israel on 11th January 2026?

    Hello Is this information and are these pictures about protests in Israel against their prime minister, Benjamin Netanyahu, and calls for his resignation true?
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akutana na Rais wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati sana!!!!
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa salamu za Krismas kwa Wakristo wote!!

    Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri wakristo wote duniani. Ritz Adiosamigo Webabu gTurn Mnateseka mkiwa wapi?
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amkatalia Waziri Mkuu wa Norway kutembelea Israel

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo. Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo, kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu anasherehekea Miaka 76

    Benjamin Netanyahu - 21 October 1949 HAPPY BIRTHDAY MASHINE YA KAZI Panapo majalliwa utawashinikiza waliomuua mtanzania mwenzetu kikatili warejeshe mwili wake uje uzikwe Tanzania
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, kama Netanyahu ataendelea na mauaji ya kimbari dunia itafanya nini na je, anaaminika?

    Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali yanayosumbua ni kama ifuatavyo: 1) Je, Netanyahu na Trump wake wanaaminika? 2) Je, kama wataendelea na ujanja...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel wa Israel Benjamin Netanyahu asema Marengo yake yanaenda kutimia!

    Waziri Mkuu Netanyahu anasema Israel iko katika hatua nzuri ya kufikia malengo yake, haswa kuwarudisha mateka wote. Anamshukuru Rais Trump, Jared Kushner, na Steve Witkoff kwa jukumu lao muhimu katika kuchanganya shinikizo la kidiplomasia na kijeshi ambalo liliweza kuwaingiza Mkenge magaidi wa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Simba akitokea mahali lazima wanyama wengine wakimbie, ndo kilichotokea UN baada ya Waziri Mkuu wa Israel kusimama

    SIMBA ni simba Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel. Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu God bless Israel
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu huko UNGA itaonyeshwa Mubashara Gaza!

    Ofisi ya Waziri Mkuu imeiagiza IDF kuweka vipaza sauti kote Gaza ili kurusha moja kwa moja hotuba ya Umoja wa Mataifa ya Waziri Mkuu Netanyahu kwa wakazi wa eneo hilo hapo say 10 jioni ya leo! Channel 12 inaripoti kuwa maafisa wa kijeshi wanadaiwa kuelezea wasiwasi wao, wakionya kuwa hatua...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameondoka kuelekea Marekani ambako atalihutubia UN

    Akielekea New york City, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema atatumia hotuba ya United Nations General Assembly (UNGA) kuwashutumu viongozi wa dunia wanaoitambua Palestina Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara wakipiga picha kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

    Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wacharuka kuhusu matamshi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu dhana ya “Israel Kuu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE ilitoa taarifa kwa lugha kali ikilaani kabisa matamshi ya Netanyahu kuhusu “Greater Israel” ambayo yaliwezekana yakimaanisha kueneza eneo la Israel kuzidi mipaka yake iliyothibitishwa kimataifa. UAE ilisema matamshi hayo ni ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Asante waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kuirudisha Gaza Israel tena

    🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano. Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau adai Gaza hakuna njaa, wamekuwa wakiruhusu misaada kipindi chote cha vita

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula “Tunaruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza wakati wote wa vita la sivyo, kusingekuwepo na Wapalestina Gaza,” alisema Netanyau...
  20. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration). Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
Back
Top Bottom