bei ya jumla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  3. ENICK

    JamiiForums Tanzania Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
  4. stan john

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  5. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  6. Salahan

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mabegi, Mikoba na Pochi ndogo nainai chambuu bei ya katoni

    Habari wanajamii Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi ninachokifahamu ni tunu yafaa nitumie kujinufaisha na familia yangu tu. Ndio nimeamua kuagiza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Hard disk(HDD) za laptop kwa bei ya jumla

    Hard disk za laptop mpya 500 GB = 45,000 tsh Ukihitaji kuanzia mbili bei inapungua kwa mawasiliano zaidi 0621 089 762 tupo dar es salaam
  8. DavidHard

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi. Naombeni mawazo wadau
  9. Mayova

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  10. M

    JamiiForums Tanzania Miamvuli kwa bei ya jumla

    Habari ya humu wadau? Nauliza mtu anayejua sehemu wanauza MIAMVULI KWA bei ya jumla Dar
  11. matheiavelini

    JamiiForums Tanzania Korosho bei ya jumla

    Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka...
  12. Amiry outfitstore

    JamiiForums Tanzania Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  13. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Sabuni za Magadi kutoka Kigoma, kwa bei ya jumla na rejareja

    Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja. Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25. Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam. Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nauza raba za mtumba bei ya jumla (10,000)

    Habarini! Natumaini wote tuko salama kwa neema ya Mungu. Karibuni kuniungisha raba za mtumba kwa bei ya jumla, nipo Kinondoni Studio, barabara ya kwenda Mwananyamala opposite na Akiba Commercial bank Simu: 0759891571 WhatsApp: WhatsApp Location on Google Map: Jessi Brands · 35 Mwinyijuma Rd...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

    Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani. Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
  17. Mayova

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nani aniuzie simu kwa bei ya jumla

    Habari zenu wana jukwaa la Biashara. Nasafiri naenda Mbeya. Wilaya ninayokwenda hakuna maduka makubwa ya simu kama Kariakoo, ila watu wanapenda sana hizi smartphone. Sasa natafuta muuzaji wa simu ambae ataniuzia simu kwa bei nafuu (bei ya jumla). Nataka ninunue simu mbili tu kabla sijasafiri...
  19. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on WhatsApp Simu: 0759891571 Karibuni sana.
  20. gkasambo

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza desktop na laptop kwa bei ya jumla?

    Habari za mchana, Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi. Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
Back
Top Bottom