Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
Habari wa JF
Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi naomba kupata taarifa sahihi either kwa anaefanya hii biashara au anaejua taarifa sahihi!
Nawasilisha!
Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.
Business as Usual!
Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama
*Screen Protectors
*Cover za simu
*Power Banks
*USB Cables / Charges
*Chaja za simu
*Memory Cards
Aluta kontinua!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.